Msanii Nassib Abdul aachiwa kwa dhamana

Msanii Nassib Abdul aachiwa kwa dhamana

oxwinj

Member
Joined
Oct 7, 2014
Posts
24
Reaction score
2
Msanii maarufu nchini Tanzania ( Diamond ) aachiwa huru kwa dhamana baada ya kushikiliwa na polisi kwa uvaaji wa sare ya jeshi.
 
Apelekwe JKT wiki 2 tu! Ataelewa nini maana Geshi! Na Gwanda zake na heshima nidhamu kWa Geshi!!!
 
poleni sana msiofanya maendeleo yenu binafsi kwa kupoteza muda wa kufuatilia maisha ya watu wengine wanaopiga hatua daily...

Hata jambazi anapiga hatua, lakini haimfanyi role model kwa sababu tu kapiga hatua. Tafakari.
 
poleni sana msiofanya maendeleo yenu binafsi kwa kupoteza muda wa kufuatilia maisha ya watu wengine wanaopiga hatua daily...

Bila kufuatiliwa wao wenyewe hawali au hujui wanaowafuatilia ndio baadhi hujaza kumbi na kununua Cd???!!
 
Polisi walimshikilia kwa kosa gani hapa nchini hakuna sheria inayokataza raia kuvaa kombati isipokuwa kuna makatazo ya kihuni yasiyokuwa na nguvu ya kisheria, polisi wamepoteza weredi wa kusimamia utekelezaji wa sheria.
 
Huyu mtoto mchawi sana wasingemuachilia,wangempa masharti magumu ya dhamana kwani atavuruga kesi kwa ulozi.Mama yake akimjambia kesi kwishaaa!!!
 
mbona hawakumshika yule mwingine!? maana yule kavaa kata ‘‘k" kabisa yani kaidhalilisha jwtz, kwanini wasipelekwe jkt kweli kama mdau alivyopendekeza!? na kama wameazima huyo aliyewaazima achukuliwe hatua kali za kinidhamu..!!
 
Maarufu ni mungu pamoja na mama yangu basi wengine tupa kuleeee labda maarufu kwako.
 
Polisi walimshikilia kwa kosa gani hapa nchini hakuna sheria inayokataza raia kuvaa kombati isipokuwa kuna makatazo ya kihuni yasiyokuwa na nguvu ya kisheria, polisi wamepoteza weredi wa kusimamia utekelezaji wa sheria.

acha kuropoka Mbwa wewe
una uhakika kwamba hamna sheria au unabwabwaja tu
rudi kasome sheria za nchi vizuri
 
Huyu mtoto mchawi sana wasingemuachilia,wangempa masharti magumu ya dhamana kwani atavuruga kesi kwa ulozi.Mama yake akimjambia kesi kwishaaa!!!

Sio mchawi polisi hawana grounds za kundelea kumshikilia kwani kimsingi hakuna sheria inayokataza raia kuvaa kombati au nguo zinazofanana na kombati za jeshi, narudia tena kuna makatazo ya kuhuni yasiyokuwa na nguvu ya sheria.
 
Huyu domo anavaa gwanda kwenda kukatia kiuno stejini,aisee achukuliwe hatua haraka tena MP wampe adhabu ya kukata kiuno siku 3 mfululizo.
 
Mbona juzi D 12 wa clouds fm alitangaza kwa bwebwe nyingi kuwa diamond alipewa kibali cha kuvaa nguo za jeshi siku mbili kabla ya shoo...au ndo kutokuwa na ethics za kazi kulopokalopoka tuu
 
Back
Top Bottom