kilwakivinje JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 6,319 Reaction score 9,569 Sep 26, 2023 #61 Wamemuua kikatili sana
je parle JF-Expert Member Joined Nov 28, 2018 Posts 2,104 Reaction score 4,090 Sep 26, 2023 #62 Nilikuwa simjui jamaa ila kwa hizi trends za kifo chake nikabidi niangalie imekuwaje dah.? Kuna binadamu ni wakatili sana kisa tu wapate Hela au umaarufu Alichofanyiwa jamaa sio haki hata kidogo.! Hata hawa ambao walihisika kununua jeneza pia wanatakiwa kushikiliwa na kuuawa kabisa unamvunja vipi mtu shingo wakati tayar alishakufa Kuna vitu havipo sawa.! Sheria ya kunyongwa inatakiwa kurudi haraka hii chain yote iliyohusika wanatakiwa kunyongwa wasipelekwe segerea hata mmoja
Nilikuwa simjui jamaa ila kwa hizi trends za kifo chake nikabidi niangalie imekuwaje dah.? Kuna binadamu ni wakatili sana kisa tu wapate Hela au umaarufu Alichofanyiwa jamaa sio haki hata kidogo.! Hata hawa ambao walihisika kununua jeneza pia wanatakiwa kushikiliwa na kuuawa kabisa unamvunja vipi mtu shingo wakati tayar alishakufa Kuna vitu havipo sawa.! Sheria ya kunyongwa inatakiwa kurudi haraka hii chain yote iliyohusika wanatakiwa kunyongwa wasipelekwe segerea hata mmoja
Amicus Curiae JF-Expert Member Joined Sep 12, 2012 Posts 5,352 Reaction score 7,668 Sep 30, 2023 #63 The Icebreaker said: Chanzo cha kifo hua ni kifo. Click to expand... [emoji23][emoji23]