Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Asee👐Muziki wa bara hawajaupiga marufuku ?
Kajipodoa Kizaramo.
Sijakuelewa umesemaje emu fafanuakwa nini mataifa makubwa yanatuma balozi au wawakilishi ndani ya serikali kutembelea ikulu.sbabu tuna jishusha sana kwa vitu vya kijinga
"ikulu ni mahali patakatifu " NYERERESijakuelewa umesemaje emu fafanua
Kwa hio wasiende kunywa chai mboni kwenye Altare Padri hua anagonga mvinyo wa kutoka DODOMA au sio patakatifu pale?"ikulu ni mahali patakatifu " NYERERE
USHAWAI KWENDA POLISI KUSALIMIA .BASI IKULU SIO SEHEMU KILA MTU ANAFIKA EMBU USIJAZARAUKwa hio wasiende kunywa chai mboni kwenye Altare Padri hua anagonga mvinyo wa kutoka DODOMA au sio patakatifu pale?
Mzee ile ni sehemu ya makazi ya Rais anaruhusiwa kwenda hata wewe kumtembelea kikubwa ufuate taratibu na kanuni sio kwamba wanaenda kucheza Rhumba kule, ni salamu na kubadirishana mawili matatu basi siku imepitaUSHAWAI KWENDA POLISI KUSALIMIA .BASI IKULU SIO SEHEMU KILA MTU ANAFIKA EMBU USIJAZARAU
Kwahio yeye ni mtakatifu"ikulu ni mahali patakatifu " NYERERE
Kama unaona amejipeleka mwenyewe na wewe nenda kamsalimie mwinyiUSHAWAI KWENDA POLISI KUSALIMIA .BASI IKULU SIO SEHEMU KILA MTU ANAFIKA EMBU USIJAZARAU
USHAWAI KWENDA POLISI KUSALIMIA .BASI IKULU SIO SEHEMU KILA MTU ANAFIKA EMBU USIJAZARAU