Msanii Mack T amerudi kwa kishindo

Yeah I think you know good music dude hiyo namba 4 Ni hatari Sana
Kama mike t ningekuwa star
Kama ningekuwa Na mkwanja kachaa
Dah wacha kabisa mkono wa Mdachi .
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]

Mdachi alikua anapika midundo mitamu yenye ujazo....
 
Nyimbo hii haiwezi leta ushindani kwenye game kwa sasa, jipange Mnyalu wa Mwakaleli..

Leo nimebahatika sikiliza wimbo mpya wa msanii mkongwe Mike T Clouds FM, unaitwa umenikutaga, hakika jamaa karudi vizuri Sana na wimbo wake utasumbua Sana.

Nikiwa Kama shabiki wazamani wa nguli huyu, nampongeza kwa kazi Hii nzuri na Classic chini ya upishi wa Maco Chali.
 
Huu wimbo si m'baya wala sio mzuri kivile,ila kwavile alipotea hii ni kama anatukumbusha kuwa nipo,kisha ndio atoe goma la kueleweka.


Hili goma naimani utakua muendelezo wa nyimbo Kali za Mnyalu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom