Msanii Linah apagawisha Washington DC

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,390
33,258









Linah akivuta hisia kwneye show yake Washington DC

Mdau akichukua taswira ya mwimbaji Linah alipokua akiwasha moto kwenye show yake Washington DC nchini marekani

Wadau mbalimbali wakicheza kwa furaha songi mbalimbali zilizokua zikiporomoshwa na msanii Linah kutoka Tanzania kwenye show yake iliyofana sana Washington DC nchini Marekani



Linah akiiimba kwa hisia kwenye show yake DC







Linah(kulia)akiwa na wadau

Warembo mbalimbali waliojitokeza kwenye show ya linah Washington DC nchini Marekani
--
Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya,Estalina Sanga 'Linah' amepagawisha wadau mbalimbali Washington DC nchini Marekani ambapo tarehe 21 Mwezi Huu anatarajia kupagawisha wadau wa Miji ya COLUMBUS OHIO
 
ni House party au Concert? maana naona km sherehe za birthday flani hivi.
Ooh! Afadhali umenisaidia kujaribu kuelewa. Yes kama co B-part yaweza kuwa Shukran Part baada ya Harusi ya hao Mr&Mrs wanaompa zawadi hapo juu
 
Halafu kavaa vibayaaaa..alidhn ulays ni kuvaa uchi tu..tazama wahudhuriaji wamevaa kiheshims..video za nje zatudanganya
 
Mavi matupu!, watu kumi ndani ya kisebule cha familia ndo unasema eti "apagawisha", hivi unajua maana ya "kupagawa" wewe, cjui labda hiko kiguo alichovaa, bora u change hiyo headline kwani haiendani na picha ulizoweka!!!
 
Alipagawisha sana! Hapo mkononi hiyo hela aliyoshika inadhamani ya sh ngapi za Kitanzania??

 
prof jay vipi, mbona kama kazamia ivi?.........watu bize na pair zao ndio kusema hawamjui au daharau!!!???


 
Huyo linah ni STRIPPER au? Mbona kavaa kama changudoa alafu wadau wanamtupia dola mojamoja?
Huu ni ushamba na uchafu.
 
si haba aliwapunguzia stress za kubeba mabox mpaka mkapagawa!:smile-big:
 
Halafu kavaa vibayaaaa..alidhn ulays ni kuvaa uchi tu..tazama wahudhuriaji wamevaa kiheshims..video za nje zatudanganya
nakuunga mkono mkuu tofali, hovyoooooooooooo kabisa alivyovaa huyu dada!
 
Last edited by a moderator:
Walivyowashenzi yaani walimuona ni mtu wa kutunzwa dola mojamoja pole yake nafikiri ni hayo mavazi alovaa waliiona yanafa kutuzwa dola mojamoja.

Wasanii bwana hivi huwezi bila kuwa msanii wa muziki au filamu bila kuonyesha utupu wa mwili wako!!!!!!!!!!!
 
Watu wanapagawishwaje kwa CD playback? Au siku hizi wamebadilisha uimbaji?
 
ina maana kuwa msanii ni lazima kuvaa nusu uchi,,,,huu ni ujinga na utumwa wa kiakili.
 
Niliwahi kumkuta Mlimani City Samaki-Samaki sikutambua kuwa ndio Linah mpaka niliposikia watu wakimshobokea...sijui kwa nini always muonekano wake halisi huwa tofauti na wa kwenye picha zake!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…