Msanii Kingo na Corona

Msanii Kingo na Corona

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Kila mtanzania kwa sasa amekuwa akihimiza mwenzake au wenzake kujikinga na gonjwa baya la corona. Pia wasanii nao hawakubakia nyuma nao wanapambana kuelimisha jamii juu ya kujiepusha na hatari za corona.

Hapa chini ni namna gani watu wamekuwa wakitoa elimu juu ya kujiepusha na hili gonjwa na bahati mbaya wameingia watu wasiyo na taaluma hasa wana siasa.
FB_IMG_1585386048626.jpeg


In God we Trust
 
Nasubiria ya ndugu mwenyekiti wa ufipa.
 
Back
Top Bottom