Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
kajala!!!!chai ya mujini...
Hahahahaha! Nimemkumbuka aliwahi kusalimia mpaka kuku lol...Ufudu ni bingwa wa salamu, muulize Gee, yaani wee cha mtoto.
Usiondoke bana mbona pako poa tu? tunauza chai tu hapa na mahindi choma.
Asante hizo salama zimefika mamii...
Kutakatisha pesa ni njia inayotumika kuhalalisha pesa iliyopatikana kwa njia za jinai mfano pesa za rushwa, za wizi, au za madawa ya kulevya. Kwa bongo ni ngumu kuelezea kwani watu wanachukulia hizi kama njia halali za kuwin life kibongobongo.Kakosea hapo huyu mkuu
Mi naona kubadilisha hati ya kiwanja hicho pasipo halali na kisha pesa hizo wakazitakasa kama halali
Bab unamjua kajala au unamsikia?huyo gwiji kitambo hata huyo wema sepetu yupo shule ya msingi!kachelewa tu kuutafuta umaarufu wa magazetini ila hapo hamna demu kitambo!watu waliokuwa wanatimba katika maconcert kitambo ndo wanajua habari yake au kama tanesco enzi za pazi muhudhuriaji!alikuwa bingwa wa kuvua nguo stejini enzi za talent za taji liundi pale fm na cine!kaanza kugawa tigo tangu enzi za buzz na mobitel!dah lakin demu kaingizwa chaka na yule pedeshee wake faraji sijui,ila huyu mchumba huwa namuona mtulivu sana kiaina hakupaswa kuingia kwenye huu msala,angeingia wema aaah full bata ningemwambia bro wangu askari magereza ajichukulie mke kilainii