Msanii Kajala katupwa rumande

kutoa fedha bandia kutoka sehemu flani na kuzipeleka sehemu nyingine na kuzitumia kihalali,kwa shughuli halali

Fedha bandia? Ni kuwa wametengeneza noti feki?

Hapo kaa umekosea kidogo hivi
 
Fedha bandia? Ni kuwa wametengeneza noti feki?

Hapo kaa umekosea kidogo hivi

Kakosea hapo huyu mkuu
Mi naona kubadilisha hati ya kiwanja hicho pasipo halali na kisha pesa hizo wakazitakasa kama halali
 
nzuri mwaya, za kutakatisha faranga???

hahahaaa SL ulishawahi kumsikia mtu anaitwa UFUDU hapa JF?
Hahaha! Sijawahi kumsikia bee, afu hapa naona pamechafuka, wacha mie nisepe zangu lol...


Zaidi sana am happy vile we hujambo! Nifikishie salam zangu kule mahali petu!

Kwaheri manake hapa sirudi tena!
 
Hahaha! Sijawahi kumsikia bee, afu hapa naona pamechafuka, wacha mie nisepe zangu lol...


Zaidi sana am happy vile we hujambo! Nifikishie salam zangu kule mahali petu!

Kwaheri manake hapa sirudi tena!
Ufudu ni bingwa wa salamu, muulize Gee, yaani wee cha mtoto.

Usiondoke bana mbona pako poa tu? tunauza chai tu hapa na mahindi choma.
Asante hizo salama zimefika mamii...
 
Huyu dada nae mume wake ana moyo, P-Funk amempiga tattoo mwabwepande, mferejimaringo kote ni signature ya majani, sijui kila akimvulia na akiona hayo matattoo sijui anamtathimini vipi mpenzi wake?

Kwa mujibu wa picha ya Kajala akiwa mahakamani.... Aaaah.. Shababi yeyote atalazimika kusahau "signature za P Funk...
 
Nimeona kwenye gazeti huyu dogo anaitwa Faraji mchambo anadaiwa na NBC. Du kazi kweli kweli
 
Daah Mkuu...nimefurahishwa sana na haya maneno kwenye red, umenikumbusha mbali sana mkuu. :cheer2:

ooh okie dokie smokie

Halafu sasa, ukiwa na kosa lisilodhaminika huruhusiwi kuja mahakamani?

Interesting...
 
tena bila makeups....huyu nae amepatwa na misukosuko mingi mfululizo
[Q
UOTE=Fidel80;3507150]
1+%282%29.JPG


Akiwa mbele ya pirato hapa[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom