Bwana Mudogo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 458
- 78
Kunitaja tu mara kwa mara hapa JF ni dalili za wazi kuwa una wish kuwa kama mimi lakini bahati mbaya huwezi. Mtu ambaye hata ujumbe wa nyumba kumi hauna unawezaje kujilinganisha na mjumbe wa kata? hiyo kama sio akili matope ni nini?
chama mtu mwenye akili timamu hawezi kushindania mambo ya kipumbavvu kama hilo unalojaribu kunishawishi kufanya. Anayefanya hivyo ni yule tu mwenye akili ya samaki.Mkuu Mwita Maranya
Hebu tufanye jambo tu tuandike kitu humu JF mimi chama nitamsemea ovyo Nape Nnauye na wewe msemee ovyoo slaa halafu tuone kati yetu atakaye lala na njaa ni nani; kama unayo jeuri sema nakuhakikishaia siyo utamlamba miguu slaa utamlamba ------ mbwa wa slaa. Wewe unapigania maslahi gani ya wanyonge? Wewe mwenyewe mnyonge utampigania gani sema unapigania tumbo watoto wasilale njaa hapo utaeleweka
Chama
Gongo la mboto DSM
Mohamedi Mtoi,zawadi za kigiriki hizi usizipokee! Pokea kutoka kwa yeyote si hawa Wagiriki.
kaka
mbona unachechetuka
mapema hivyo? subirin tuwanyoe taratibu, umesahau uchaguzi uliopita
ulimpa cash kibao akupige tafu? huku anajitoa apewi. big up prof. kazi
moja ongera kwa kuchemsha bongo kabla hawajakuloweka kwenye
mafuta
Mwita Maranyachama mtu mwenye akili timamu hawezi kushindania mambo ya kipumbavvu kama hilo unalojaribu kunishawishi kufanya. Anayefanya hivyo ni yule tu mwenye akili ya samaki.
Sijawahi kuona mtu anajidai anaishi USA lakini kila sekunde anapiga umbea wa lumumba kwa udhamini wa manispaa ya ilala. Unadhani huko state watu wanaishi kwa kupiga majungu? kumbe hata kama mtu umepata exposure kubwa kiasi gani lakini ukishakuwa mwanachama wa ccm basi akili yako inajaa matope. Ndio maana mwenyekiti wenu anasema ili mle mnaliwa kwanza. Makamu mwenyekiti wenu anasema mna akili za samaki.
Sasa kama viongozi wenu wakuu ndivyo wanavyowaona wanachama wao, unawezaje tena kujaribu kujifanya wewe mambo yako safi kuliko mimi? Kumsema hovyo nape kwa nyie walamba miguu wa fisadi ni kawaida kwakuwa hamna aadabu na kwakuwa mnamtumikia huyo anayewalipa ili muendelee kuwepo JF.
Jana nimeona kundi la fisadi limeanza kumsema hovyo Nape kwakuwa amekanusha habari za mwenyekiti wenu kumfagilia fisadi mkuu wa ccm. Endeleeni kumsema hovyo Nape Nnauye kwakuwa najua mnafanya hivyo kwakuwa hayuko kwenye kundi la mtandao wenu.
Kunitaja tu mara kwa mara hapa JF ni dalili za wazi kuwa una wish kuwa kama mimi lakini bahati mbaya huwezi. Mtu ambaye hata ujumbe wa nyumba kumi hauna unawezaje kujilinganisha na mjumbe wa kata? hiyo kama sio akili matope ni nini?
Kunitaja tu mara kwa mara hapa JF ni dalili za wazi kuwa una wish kuwa kama mimi lakini bahati mbaya huwezi. Mtu ambaye hata ujumbe wa nyumba kumi hauna unawezaje kujilinganisha na mjumbe wa kata? hiyo kama sio akili matope ni nini?
Kunitaja tu mara kwa mara hapa JF ni dalili za wazi kuwa una wish kuwa kama mimi lakini bahati mbaya huwezi. Mtu ambaye hata ujumbe wa nyumba kumi hauna unawezaje kujilinganisha na mjumbe wa kata? hiyo kama sio akili matope ni nini?
Kunitaja tu mara kwa mara hapa JF ni dalili za wazi kuwa una wish kuwa kama mimi lakini bahati mbaya huwezi. Mtu ambaye hata ujumbe wa nyumba kumi hauna unawezaje kujilinganisha na mjumbe wa kata? hiyo kama sio akili matope ni nini?
Profesa wa Ku rap! hivi mnadhani watanzania bado wajinga kiasi hicho! yani
muhuni avae mlegezo afanye mziki unaofanana na Rap! halafu awadanganye
nini wananchi! anadhani ndio watamuelewa kwa kufundisha kwake uhuni huo!
mchukueni halafu mumpeleke vijijini mkaseme "huyu mwanasiasa mpya "
muone! kwani hata wanamjua sasa! nyie mkikaa Dsm mnadhani mnajulikana na
kila mtanzania sio! pelekeni mlevi wenu kwenye kampeni zenu halafu
mnipe tathmini baada ya kuzunguka mikoa yote!
Dah! Kesho utasikia amefunguliwa kesi kwa kosa la kuvaa suruali ya kijeshi.
"Chezea magamba weye"
Mwita Maranya
Wewe tukubaliane jambo moja tu upo JF kuganga njaa; huna mnyonge wala masikini unayemtetea; sijawahi kukutana na mtetezi wa aina yako; wewe mwenyewe ni njaa kali; unaishi kwa kubeba mikoba ya kina slaa na kupika chai mtaa wa Togo utamtetea nani? mimi nimesema yopte kuhakikishia mimi ni mwanachama safi wa CCM ninayepigania chama changu makini; silishwi wala sivai kwa kuitegemea CCM. N nyie waganga njaa wa Chadema ndio wengi humu mpaka mna haribu utamu wa jukwaa mkiambiwa na slaa andikeni Josephine mzuri kama Halle Berry nyote mtakimbilia kuandika utumbo huo bila hata kuufanyia utafiti wa kina; wewe endelea kulamba makwapa hapo Togo huna jeuri hiyo na wala hutaipata.
Chama
Gongo la mboto DSM