Msanii maarufu wa bongo flava Joseph Haule aka Proffesor Jay, leo hii amejiunga na chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kukabidhiwa kadi yake ya uanachama mjini Dodoma.
View attachment 94612 View attachment 94613
mkuu una uliza makofi polis? Subiri uone kazi utaona hasa kuanzia next year!kazi maalumu ya j hapo cdm itakuwa ni nini.
Ulichoandika ni sawa na upeo wa akili yako, maana kutumika kama condom na CCM au Clouds FM ndiyo kuwa kwenye kiwango.Prof J aliisha kwisha long time ago, sasa ni historia tu. Ukimuona pale rose garden mpaka bia alikuwa anaomba. Njoo rose garden upate story zake.
nimekuelewa mkuu, lakini ni muhimu kujiunga rasmi kwa kadi mkuu!Mkuu,Roma mbona yule haina haja ya kumshawishi wala nini?kila mtu anajua yule amesimamia upande gani!Roma alizaliwa akiwa mchadema/mleta mabadiliko
wewe ya kwako utampa nchimbi, mimi na wapenda mabadiliko tutampa j, hatuwezi kumpa mlanguzi wa majimbo nchimbi, labda 2015 atafute jimbo lingine na si songea mjini!prof jay hata songea hajawahi kufika. kura atampa nani?
Msanii maarufu wa bongo flava Joseph Haule aka Proffesor Jay, leo hii amejiunga na chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kukabidhiwa kadi yake ya uanachama mjini Dodoma.
View attachment 94612 View attachment 94613
wewe ya kwako utampa nchimbi, mimi na wapenda mabadiliko tutampa j, hatuwezi kumpa mlanguzi wa majimbo nchimbi, labda 2015 atafute jimbo lingine na si songea mjini!
nani kakwambia kwamba kinondoni tunataka wanamziki watuongoze usitukosee heshima aenge huko na utoto wake kinondoni tunataka watu makini siyo kichwa kama cha j.
mkuu kwikwii, haa yaani unamfananisha j na diamond? Naomba nitajie kwanza umri wako, inawezekana umeiba simu ya babaako kwa kujifunzia internet!Hamna kitu bangi tuu zinaongezeka angekuwa diamond ingeluwa mstuko
Joto hasira...mleta hoja anasema msanii maarufu ahamia chadema,jamani hivi kweli j kwa sasa bado unaweza kusema ni msanii maarufu mi nadhani ingekuwa msanii aliyeishiwa kimziki ahamia ajiunga chadema.kwa sasa j hata jot hamfikii kimziki.
yaani kwa sasa ameshapata zaidi ya kura 1000 fasta, masela wa lizaboni, mfaranyaki, mjimwema, msamala na hata mabatini, chezea songea wewe? Nchimbi atafute jimbo lingine na si songea mwaka 2015!kina cha maji hakipimwi kwa miguu yote miwili mwabie ajaribu kama hajaishia kura 10.
Dah! Kesho utasikia amefunguliwa kesi kwa kosa la kuvaa suruali ya kijeshi.
"Chezea magamba weye"
chama cha kijani wameambulia garasa, j amechagua penyewe!Hebu tuwatofautishehawa:
View attachment 94636
View attachment 94638
View attachment 94637
Katika hivi vyama viwili nani kaambulia garasha?
mkuu nchimbi ajiandae kutafuta jimbo lingine na si songea mjini tena!Heavy weight MC Profesa J.....karibu CDM umtoe Fisadi wa Elimu DR Nchimbi.......Nchimbi Kwishney