Wivu wa kikeAnaandika Javan Samora-Kenya
Msanii wa kizazi kipya Diamond Platnumz ( Dangote ) leo amewachefua fans wake mara baada ya kuongea Ki-ingereza cha hovyo ( Broken English ) na kuzua taharuki kwa mashabiki, Akiongea kupitia kupitia kituo cha Redio cha Class FM wakati wa kutangaza uzinduzi wa cologne (Parfume )
yake mpya, Daimond ameacha story mbaya miongoni mwa Mashabiki wake Africa na Duniani kwa Ujumla,
Hata hivyo Mtangazaji wa kituo hicho Maina Kageni wa kipindi cha Morning showz amepotezea kwa kwa kuwaambia mashabiki (Fans) kiingereza ni kwa aajili ya mawasiliano wala sio kipimo cha ujuzi.
Mytake; Mh Dangote jaribu kujitathimini kwa mtazamo wangu hauendi vizuri sana kama mwanzo so kama muziki umekushinda fanya mengine ili usiipoteze hii branding yako, Hapa Tanzania umewavuruga sana fans wako kwa kumtetea Albert Bashite pamoja na kutupia instagram post ukitukana matusi ya ajabu ajabu, Jaribu kujitadhimini upya kama ndiwe "Diomond Platnumz) tuliyemfahamu au ndio umeota mapembe tukuongezee mkia. Achana na Siasa uchwara.
View attachment 498394
Anaandika Javan Samora-Kenya

Hii ya wakenya sio ujinga,ni upumbavu.Mbona wao wanaongea kiswahili kibovu na sisi tunajitahidi kiwaelewa?Mtu ambaye kiingelez n third or fourth language kwake lazima kutakuwa na vitu hatatamka sawa.Lakini pia kwa historia ya mond,siwezi kumshangaa akitamka vibaya.Ni wazi anajitahidi.
Kwa kiwango chake cha elimu, Diamond anajitahidi sana. Asione aibu kununua vitabu vya watoto vya kiingereza vya hadithi fupifupi ili kujiimarisha zaidi. Pia afanye mazoez kwenye tenses.
Sio kwamba Diamond atabaki juu milele lakini mambo aliyofanya mpaka sasa yanastahili pongezi. Hatua aliyopiga ni kubwa hakuna mwanamuziki ambaye amewahi kuifikia kwa Tanzania sasa sielewi unamfananishaje na Mr Nice? Kwani unavyosema Mr Nice alikuwa hivi unaweza ukatuonyesha kilichofanya Mr Nice akaanguka? Na unaweza ukatuonyesha how that pattern ipo pia kwa Diamond?Huwa namkumbuka sana Mr Nice ivi yuko wapi?
Umeleta haya yote hapa jamvini ukiwa na lengo gani? Unaonekana una chiki binafsi na Nasib mambo mengine umechapia tu - ndiyo baadhi ya Watanzania walivyo wivu tu hamna kingine. Kama wewe ni Mtanzania mzalendo uwezi kumkandia Mtanzania mwenzako kwa kushadidia upuuzi wa vyombo vya habari vya Kenya ambavyo ujui lengo lao ni nini - hata akili ya kutambua kwamba Wakenya walifanya hivyo makusudi wakiwa na lengo la kumfanya Nasib ajisikie munyonge kwani waliona ugumu gani kama wange conduct mahojiano kwa lugha ya Kiswahili wangekosa nini,mbona Rais wao (Uhuru Kenyatta) mikutano mingi anapo kutana na wananchi uzungumza kiswahili fasaha. Walimtegea Nasib ili wapate sababu za kumubamiza ndio walivyo, kwani Nchini Kenya nani ajui kuzungumza/kuelewa kiswahili hata kama ni cha kubabaisha?
Labda kwa kukuelimisha kidogo ni kwamba Mataifa yanayo jitambua Duniani uenzi lugha zao za Kitaifa siyo lugha za kigeni, niliwahi kuwambia hapa kwamba Waingereza ushangaa sana Nchi za Kiafrika zinaso diriki kusema eti lugha yao ya Kitaifa ni Kingereza!! - binafsi niliwahi kushuhudia kwa macho yangu huko Uingereza Mkenya akidhalilishwa na Mwingereza tulipo karibishwa kwenye chakula cha jioni, mwenyeji wetu huyo alitaka kujua culture za nchi wanako toka waalikwa mojawapo likiwa swali ya lugha zao za kitaifa i.e wanaelewana vipi wakati kila nchi ina makabila tofauti na lugha tofauti, tukajieleza - ilipofika zamu ya Mkenya aliposema eti National language ya Kenya ni kingereza mwenyeji wetu alishangaa kidogo - mwanzo Mkenya huyo alifikiri akisema hivyo basi Mwingereza atamuona wa maana, kumbe nikujidhalilisha - siwezi kurudia mwenyeji wetu alivyo mjibu Mkenya - sasa na sisi Waswahili wa hapa Tanzania tunarudia ulimbukeni wa kufikiri ukizungumza lugha ya kigeni flawlessly basi wewe una akili sana au hiyo tu inaonyesha umendelea - what does masterly of English gotta do in Music Industry??
umesahau kumalizia na bashite oyeeeeeHajatukana, hivyo supa kwake.
Hahahahah mama zito naona umefurushwa toka shimoniHuyo hajui kiingereza
anamlisha mamako,wewe na ukoowenu mzima miaka 100