Kuwa msanii lazima uwe unaonekana sana ktk media la sivyo hayo maisha yako ya usanii yanakuwaje!
!
Mtindo Tu Wa Maisha Yake Kaamua Uwe Namna Hiyo.
Mi navomsikia sidhan kama alikuw anavuta unga..92.9 clouds FM iringa Niko hapaa
Dozen
Aiseeee nimemsikia vzuri sana wabongo wabaya sana jamaa ndo stairi ya maisha yakeJamaa yupo vizuri kujibu balaa,
Wabongo maneno tu!
Check jamii anavyowaprove wrong
Alikaa kimya kibiashara zaidi!Aiseeee nimemsikia vzuri sana wabongo wabaya sana jamaa ndo stairi ya maisha yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi mi nimefurah sana kumsikia kwa media ni adimu sana..Niliumia sana nilivyosikia amekuwa teja. Ninawapenda Ali Kiba na Darasa kwa mapenzi tofauti.
Huyu darasa ina mana mziki gani aulishindwa kumpatia pesa za kujenga nyumba yake mana anasema walipokuwa wanakaa walihama kukwepa media.. mana alipiga show za kutoshaAlikaa kimya kibiashara zaidi!
Yeah kamaanisha alikua anahit but hakukuwa na mazingira ya yeye kupiga mkwanja mrefu!Huyu darasa ina mana mziki gani aulishindwa kumpatia pesa za kujenga nyumba yake mana anasema walipokuwa wanakaa walihama kukwepa media.. mana alipiga show za kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok sawa nimemuelewa vzuri Mwisho ameamua kuachia ngoma mpya, chanda chema ila maradhi yake bado yale yaleYeah kamaanisha alikua anahit but hakukuwa na mazingira ya yeye kupiga mkwanja mrefu!
Ya kawaida.Ok sawa nimemuelewa vzuri Mwisho ameamua kuachia ngoma mpya, chanda chema ila maradhi yake bado yale yale
Sent using Jamii Forums mobile app
ngoja wasafi buku 7 wakukute hapa.92.9 clouds FM iringa Niko hapaa
Dozen
Ktk hao wawili, Mmoja wapo ni Mimi hapaNiliumia sana nilivyosikia amekuwa teja. Ninawapenda Ali Kiba na Darasa kwa mapenzi tofauti.