Huu wimbo unanikumbusha sana mpenzi wangu, na hivi yuko mbali basi daaahh......Credo ni msanii First Class yani. Kwa wastaarabu tunamuelewa saaanaaaa.....
Kajitahidi sana, kama mamtoni vile. Hivi watu kama hawa wanaofanya vizuri kwanini hawapewi nafasi kwenye vyombo vya habari nchini? Ngoja nimuombe kaka Adrian Stepp amsaidie huyu kijana mwanaJF mwenzetu.