Msanii Credoh anayekuja juu na wimbo wake wa 'slow down'

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,409
20,756
Ni msanii anayetamba na kibao kikali cha 'slow down', wimbo mzuri na video ya ukweli, umetisha kaka Credoh...

 
Huu wimbo unanikumbusha sana mpenzi wangu, na hivi yuko mbali basi daaahh......Credo ni msanii First Class yani. Kwa wastaarabu tunamuelewa saaanaaaa.....
 
Ni msanii anayetamba na kibao kikali cha 'slow down', wimbo mzuri na video ya ukweli, umetisha kaka Credoh...


Kajitahidi sana, kama mamtoni vile. Hivi watu kama hawa wanaofanya vizuri kwanini hawapewi nafasi kwenye vyombo vya habari nchini? Ngoja nimuombe kaka Adrian Stepp amsaidie huyu kijana mwanaJF mwenzetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom