MSANII CHIPUKIZI WA BONGO FLEVA

simango

Member
Oct 20, 2014
94
34


Mabibi Na Mabwana Nakitambulisha Kwenu Kichwa Kipya Katika Mziki Wa Kizazi Kipya |BONGO FLEVA| Cblood Wardarama..Jamaa Anatokea Pande Za Tandale...Ameshatoa Nyimbo Kibao Kibao Tu Na Hii Ni Single Yake Mpya Inayofanya Vizuri Kwasasa

Hebu Iangalie Mwenyewe Jamaa Alivyofanya Vizuri Kwenye Hii Single

Kutazama hii video ingia katika link niliyoweka hapo juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom