Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

Daudi Bashite au kwa jina la kufoji Makonda, hawezi kukwepa kunywea kikombe cha Jela. Kitakachomuokoa ni kifo tu.
Mi huwa siamini.
Kwa marufuku ya kusafiri US sawa, lakini kunyea debe za jela zetu ni vigumu sawa na ngamia kupenyeza pua lake kwenye tundu la sindano.

Wanalindana sana hao, labda katiba ibadilishwe ama uje utawala mwingine.

Sijawahi kusikia tuhuma "nzuri" za kuweza kumtia matatani zinazoelekezwa kwake.

Sana sana ni blah blah za mafisadi masalia walioshindwa kujiorganize ili kummaliza kama walivyofanya kwa Sabaya.
 
Kuwa mpole Sakasaka Mao, Iko siku tutakurusisha hapa usome comments zako tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom