Yaani ndoa hizi acha tu, unaweza mfanyia mtu vitu vizuri lakini siku isio na jina anakupigia tukio mpaka unasema ni huyu kweli au nimebadilishiwa pale stirio temeke πππ