Msanii Besta yupo wapi?

Anapambania Ndoa yake, mwanamke shupavu sana, sema Marlow pombe sanaa,,
kuna kipindi walikuwa na mgogoro wa hapa na pale, ndugu wakawaweka sawa, ila kwa sasa sifaham πŸ˜‚,,
sikuhizi sifatilii hizo mambo
 
Anapambania Ndoa yake, mwanamke shupavu sana, sema Marlow pombe sanaa,,
kuna kipindi walikuwa na mgogoro wa hapa na pale, ndugu wakawaweka sawa, ila kwa sifaham πŸ˜‚
Wanaume wazuri wanapata magubegube and likewise πŸ˜ƒ
 
Muziki wa 2000 Kuja 2009 hautawahi Kuja kutokea Tanzania.

Hatukuwa na big 5[Mondi, Alikiba, Konde sijui na kina nani] kama ilivyokuja baadae....karibu wasanii 20 walikuwa wakubwa na kila mmoja na hits za kutosha.
Ilikuwa ni elf 2 kumi na
 
Elfu mbili kumbi na muziki ulishavamiwa..... tunyimbo twa kuokota okota tu...

Elfu mbili kumi na ....nyimbo zipi....
Well said Mkuu
 
Elfu mbili kumbi na muziki ulishavamiwa..... tunyimbo twa kuokota okota tu...

Elfu mbili kumi na ....nyimbo zipi....
Mie sio mwimba mashairi mpaka nikumbuke, nakumbuka kuna wbo mmoja alikuwa akiimba , wengine hatupo huko sana , mpaka tugongane nazo wakati tunapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…