BIG Africa
Member
- Oct 15, 2022
- 85
- 119
Hawa Navy Kenzo si wanafanya vizuri sana kwenye digital platforms?Hana tofauti na Navy Kenzo unaimba sana ila bahati ni sifuri
KuimbaNo matter what...barnaba anajua Sana kuomba...
Ukimkuta mtu anawajua hawa navy Kenzo bc huyo anafuatilia sana miziki bila hvy huwez kuwajuaHawa Navy Kenzo si wanafanya vizuri sana kwenye digital platforms?