Msambwanda ni furaha ya macho tu

my ribs
 
Sasa kingine omba mungu usikutane na msambwanda na michirizi kama ya kuungua utakimbia ufariki kabisa.

hahahahh yaan wewe leo utanifanya nicheke had usku aisee yaan nimechekaaaaaaaaaaa!kwakweli nashukuru Mungu hizo pundamilia thingy sn !yaan umvue sasa unaugwadu wako weeee lazima moyo uskip heartbeats km dk 1!umenichekesha sana aisee
 
Shoga angu mie kishundu kipo...kishundu in joti voice ha ha ha ha ha ha

hahaha so upo kwa wenye viportable au? mie mpk sasa sijajua nakaa wapi!ila hapana portable sipo... hahaha mtu unaweigh 89kgs unajiitaje portable sasa heheehh!napambana kwakwel
 
hahaha so upo kwa wenye viportable au? mie mpk sasa sijajua nakaa wapi!ila hapana portable sipo... hahaha mtu unaweigh 89kgs unajiitaje portable sasa heheehh!napambana kwakwel
Ha ha ha ha. Hapo nakuunga mkono kwenye u portable hatupo shoga angu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…