Msamaha wa kodi kwa Hospitali

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,217
1,259
Tuko katika hatua za mwisho za kuanzisha hospitali binafsi katika moja ya mikoa ya nyanda za juu kusini. Kuna vitu tunataka kuagiza kama CT machine, Echo, vitanda, n.k pamoja na kununua magari mawili moja la wagonjwa na lingine la mkurugenzi. Nilitaka kujua taratibu za kuomba msamaha wa kodi kwa hospitali au kliniki hapa Tanzania. Tafadhali mwenye experience anijuvye.
 
Kama uko nyanda za juu kusini jaribu kutembelea hospitali zifuatazo, wao wanaweza kukwambia inakuwaje kwa vitendo zaidi, nenda Ilembula Njombe, Chimala Mbeya, Ikonda Makete, Igogwe Tukuyu, Bulongwa Makete, Peramiho Songea, Ipamba Iringa,Usokami Mfindi nk. Hizi ni hospitali binafsi,naamini watakupa uzoefu ktk hilo na inaweza kukufanya ukaokoa muda sana kwa kupata uzoefu wao.
 
Nadhani ni ushauri mzuri asante sana.
 
gari ya mkurugenzi itakuwa ngumu kupata 100 tax exemption kama siyo non profit, i wish u all the best.
 
Back
Top Bottom