Msamaha na Kisasi

Sawa sawa mkuu asante kwa maoni karibu tena
 
Ila mkuu hakuna kitu kibaya kama kumfanyia ubaya mtu asiye na hatia,kisasi chake kinalipwa na nguvu nyingine kabisa ambayo engine wanasema Mungu.
Kwa hiyo sisi kisasi chetu lazima kitimie japo hatukifanyi sisi.
Ni kweli wakati mwingine mambo hua yanajiendesha yenyewe
 
Mtu aliyekuumiza au kujeruhi kihisia, kiakili au kimwili anaweza kufanya hivyo kwa sababu mbili. Moja kutojua. kwa makusudi-nia, ufundi na maarifa. Mbili kwa kutojua. Kutokuwa makini. Yote mawili hatahivyo hayakuondolei wajibu.
Hayakuondolei wajibu upi?
 
Nilitaka tu kuongezea kwamba kisasi kinategemea mazingira au aina ya mwonezi.
Kusamehe/kumwachia Mungu huku ni Bora kwa sababu hakubagui
Kwa mantiki hiyo upo sahihi ila kama adui una mmudu usimuachie Mungu😎

Mbona awamu ya sita hamtaki kumuachia Mungu mnajaribu kila mbinu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…