Hapa kuna sound fulan hivi nimehisi kwenye hilo neno bumper to bumper 😊Kuna vya kusamehe na kuna vya kwenda bumper to bumper...
Ni kweli ni vema kuamua kwa kutumia akili sio hisiaKisasi sio kizuri maana mara nyingi utalipa kisasi ila moyo hautakuwa na amani. Naamini mtu hutaka kulipa kisasi ili alipize ubaya na kubaki na amani, sasa kama amani haijapatikana, dhana nzima inakosa ithibati.
Kusamehe ni sawaKusamehe ni kuzuri ila tatizo ni kusamehe na kusahau, wengi hatuwezi, na kama hujasahau bado hujasamahe.
Repeat again 😞Mjukuu ukinikosea nitalipa kila baya ulilonitendea💪😅
Kusahau manake ni kumuona aliyekukosea na moyo wako ukawa mweupe usiwe na kinyongo. Swali ni je, unaweza kusamehe mjukuu?Hapa kuna sound fulan hivi nimehisi kwenye hilo neno bumper to bumper 😊
Ni kweli ni vema kuamua kwa kutumia akili sio hisia
Kusamehe ni sawa
Hii kusema usahau haiwezekani sio jambo unaloweza kuamua tu kwa sababu ubongo ndio hutunza kumbukumbu zote ziwe mbaya au nzuri sasa kusema usahau kabisa sijui unaweza je labda u ignore tu ila kuishi bila kinyongo kwa alie kukosea inawezekana
Repeat again 😞
Umeeleweka mkuu kwamba hapa unatumia zaidi akili kuangalia maslahi yako bila kuweka hisia mbeleKulipa kisasi siwezi.
Ukinikosea au ukanifanyia jambo baya ntaangalia mimi na wewe tupoje & tunashare nini kama michakato ya utafutaji inatulazimisha kua pamoja bas kuna baadhi ya privileges ntazipunguza kwako, kama mambo yangu yataenda vizuri uwepo usiwepo ntakupunguza/ntakutoa kwenye circle yangu vingine ntareact accordingly.
That is lifeMuda mwingine maisha yana tabia ya kutupeleka kwa watu fulani ambao uliwawekea misimamo au kuwafanyia umafia hata kama walikukosea.
Naweza babu kusameheKusahau manake ni kumuona aliyekukosea na moyo wako ukawa mweupe usiwe na kinyongo. Swali ni je, unaweza kusamehe mjukuu?
Sina sababu za msingi nimejikuta tu naipenda.Nje ya mada kwanini unapenda hii emoji ya moto 🔥
Yaani kumsamehe mtu anakufanyia ubaya makusudi ni udhaifu wa kiwango cha juu mno.Nshakufamu yekhee!
Unasema 😮
Sawa mkuu Asantee kwa maoni karibu tenaSina sababu za msingi nimejikuta tu naipenda.
Wewe mwenyewe ulipigwa banYaani kumsamehe mtu anakufanyia ubaya makusudi ni udhaifu wa kiwango cha juu mno.
Mimi nilitumikia ban yangu hadi mwisho. Wala sikusamehewa.Wewe mwenyewe ulipigwa ban
Ukasamehewa kwanini nikikukera usinisamehe na mimi ndege
Kumbe sawa kijana kijana mdogoMimi nilitumikia ban yangu hadi mwisho. Wala sikusamehewa.
Kwa maana hiyo wewe utapima uzito wa jambo!Inategemea na muktadha wa tukio, kuna vitu vinasameheka na vingine ni ngumu kusameheka lazima kisasi kihusike, so inategemea na muktadha wa tukio lililokusibu
Kabisa kama ni kitu Cha kawaida ambacho kinaweza kusamehewa kirahisi basi msamaha ni kitu kinachowezekana ila kama ni tukio ambalo ni kubwa kusamehe moja kwa moja inaweza kuwa kamzozo, kiasi kinakuja kwa sababu moyo umeshindwa kuhimili au kustahimili tukio ulilotendewa, Karl Marx aliwahi kusema "People as individual are not evil, but the situation or condition of life makes people to act in evil ways" . Kwahiyo kusamehe au kisasi itategemeana na situation husikaKwa maana hiyo wewe utapima uzito wa jambo!
We niite tu kijana.Kumbe sawa kijana kijana mdogo
Safii umeeleza vizuri sana chukua 👏👏Kabisa kama ni kitu Cha kawaida ambacho kinaweza kusamehewa kirahisi basi msamaha ni kitu kinachowezekana ila kama ni tukio ambalo ni kubwa kusamehe moja kwa moja inaweza kuwa kamzozo, kiasi kinakuja kwa sababu moyo umeshindwa kuhimili au kustahimili tukio ulilotendewa, Karl Marx aliwahi kusema "People as individual are not evil, but the situation or condition of life makes people to act in evil ways" . Kwahiyo kusamehe au kisasi itategemeana na situation husika
Ilifaa uitwe nani ndegeWe niite tu kijana.
Babu.Ilifaa uitwe nani ndege