ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,310
- 41,058
- Thread starter
-
- #41
MashaAllah mtoto mzurikiukweli mi huwa nachagua upande wa kusamehe, mara nyingi huwa najipa imani kwamba imetokea kwa mipango ya Mungu au ujinga wangu, baadae maisha yanaendelea
kwa wengine sawa ila sio huyu The Icebreaker lazima alipie makosa yake🤣Samehe 7×70 mtoto mzuri
Hii ndio Short and clear sasaSitoagi msamaha na wala huwa sisahau.
Binadamu hatujakamilika,kwa wengine sawa ila sio huyu The Icebreaker lazima alipie makosa yake🤣
Rupia utatanguliza na kisasi nitalipa 💃Penye udhia penyeza Rupia.
Nikitanguliza tu Rupia kwisha habari yako.
Huyo najua akisimama mbele yako huchomoi acha unafiki nilio usema kwenye mada🤣🤣kwa wengine sawa ila sio huyu The Icebreaker lazima alipie makosa yake🤣
moyo wangu ni mweupeeeee nasemaje lazima nichomoe😜Huyo najua akisimama mbele yako huchomoi acha unafiki nilio usema kwenye mada🤣🤣
siachi😏Binadamu hatujakamilika,
Acha kunikazia mtoto wa Mwanamke mwenzako.
Umepigwa muhuri kusahau ni kazi sanaKWELI NIMEKUSAMEHE LAKINI SITAKUSAHAU.
Lazima uchomoe 🙄 haya sawa😊moyo wangu ni mweupeeeee nasemaje lazima nichomoe😜
Hakika kusamahe na kutosahauUnaweza kusamehe ila unaweza usisahau,
Sometimes kutokusahau hua ina faida pia,our minds keep memories to help us stay safe,
It's very hard to forget,
So,unaweza kusamehe ila sio lazima kusahau,forgive without needing to forget,keeping the memory helps you set good rules and stay safe.
AmenMungu atuongezee imani Amen
kusamehe hapo hapo ni ngumu maana msamaha ni process ambayo end result yake ni maisha yaendelee kama kawaidaNdiyo kama hujasamehe nyooka usiigize msamaha au unaonaje kijana mdogo?
Ndio maana hua nawaambia vijana humu kua Msaliti hua hasamehewi hata siku moja.Ni kama vile ukisamehe sio lazima kuendeleza ukaribu na huyo mtu tena
Basi endelea taratibu kusamehe kwasababu mnufaika wa msamaha wa kwanza ni weweAmen
kusamehe hapo hapo ni ngumu maana msamaha ni process ambayo end result yake ni maisha yaendelee kama kawaida
Naunga mkono hoja kicwa na miguuNdio maana hua nawaambia vijana humu kua Msaliti hua hasamehewi hata siku moja.
Mtu akisha kusaliti ndio imetoka hiyo,hua haina msamaha,just to protect your self-respect,kuzuwia ongoing emotion pain and allows you to walk away from broken trust,
So,kuna makosa mengine hayasameheki,you have to pay the price.
Sahihi mkubwaBasi endelea taratibu kusamehe kwasababu mnufaika wa msamaha wa kwanza ni wewe