Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
Mlio wahi kuishi na wanaume au wake kwa miaka 4 na zaidi mkazaa watoto au mtoto ikatokea vurugu au purukushani au makwazo mmoja akaomba asamehewe mara kadhaa mwingine akakataa kabisa kusamehe basi mkaachana, ila uliyekataliwa kusamehewa uliumia sana maana hukuwa tayari hayo mahusiano yavunjike ilitkea tu bahati mbaya ukakosea ebu twambie hali ya ndoa/ unyumba au ya maisha ya Yule uliye ishi naye kwa miaka kama mke na mume akakataa kupokea ombi lako la msamaha ikoje, na huyo anayeishi naye au Alisha ishi nao baada yako ikoje, zingatia kwamba sio kwamba ulimkosea mara kwa mara na makosa yanajirudia hapana.
Mwenye uzoefu atusaidie kuelewa THAMANI YA MSAMAHA KATIKA MAHUSIANO kupitia matokeo kama haya atujuze nasi tujifunze ili tuchukue hatua.
Mwenye uzoefu atusaidie kuelewa THAMANI YA MSAMAHA KATIKA MAHUSIANO kupitia matokeo kama haya atujuze nasi tujifunze ili tuchukue hatua.