Msama Group Company ni janga kabisa

Msama Group Company ni janga kabisa

Tanzaniaa eh Tanzania eheeeh tumekwisha kila mahali kisiasa, kiuchumi, kijamiii, kimaadili, kiaakili, kiujinga , kiujanja, kiupumbavu the 8ks!!!
 
Hata Guardian ya Mzee Mengi hali ni hiyo hiyo mishaharA midogo haipatikani kwa wakati basi tabu tupu.Ukiona mzee anavyotoa misaada utasema watumishi wake wana furaha tele kumbe majanga
 
shutuma za mitandaoni hazifai,.

Hapa ni kuchafuana bure tu, nimesikia na Mh. Mengi naye mumemtaja kwenye huu uzi na kumshushia shutuma zisizokuwa na ushahidi!!
Kwa Mengi ni kweli mkuu.Amewadhulumu wengi sana.
 
Kampuni zake zinahusika na nini huyo Msama?
 
Hakuna kampuni perfect! Tumia njia sahihi kupeleka madai yako!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
halafu anajiita mlokole kumbe tapeli mkubwa,ni kama reginald mengi,watumishi wake njaa kali kwa kuwa mishahara midogo,akienda kwenye harambee ya mama salma anatoa milioni mia tano,mama rwakatale ni matatizo,gwajima ni shida,wanatembea na wake za watu,lusekelo anapokea sadaka kwa mpesa,kakobe kesi mahakamani,we must be careful with fake pastors


Hahahahahaha lusekelo kweli si mchezo anapokea sadaka na MPESA? Ataachia kuendesha Hummer namna hii?
 
Someni alama za nyakati.
Kwenye kipindi cha mkasi juzi alisema kwamba aliwahi Kuiba nguo kwa Muajiri wake ili apate nauli ya kurudi Dar.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom