Msala ambao siwezi usahau kamwe

Pantomath

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
789
3,230
Katika Maisha tunapitia mengi sanaa ila kuna mengine yanakuweka katika wakati mgumu hadi kufikia hatua ya kuona Mtihani huo ndio Mkubwa na haitokuja kutokea mwingine kuuzidi.

Nilipita na mtoto wa Anko, alikua mzuri kiasi kwamba sikuweza jizuia, alikua mwoga sana hata kuongea na mwanaume, Nafasi pekee ilikua kwangu, Tulikua age moja, Tukafanya yetu tukamaliza, kumbe alikua kwenye Siku zake za hatari banaa, Mwezi unakata haoni siku zake.

Alikua shule ya boarding hizi za St Mary's, akatafuta simu akanipigia kupitia namba ya shule tunatumia kuwasiliana yeye alikua hajui kua ile namba ni official kwa ajili ya wanafunzi akajua ni ya mshkaji. Nikaitwa, ya kua kuna simu kutoka kwa ndugu yako, Baada ya mda akapiga, Nilipokea mbele ya Mwl nikijua hamna shida ile napokea tuu ananiambia nina ujauzito.

Paaap, nikajaaa wenge, Kukata siwezi, kuongea siwezi maana wapo hapo, nikabaki najizungusha tuu pale, nikaona isiwe tabu nikamwambia pole sanaa, nikakata simu, nikaandika ile namba kwenye kiganja nikampa simu mwenzangu mwingine nikakimbilia haraka kwa mpishi kuomba simu, nikampigia,

Kumbe Sasa yeye alipoona nimemwambia pole na nikakata simu, akajua sijaelewa, na anajua simu ninayo, akatuma msg " Mimi .........nina ujauzito". Kwahio msg imebaki kule, ile ananiambia tuu hivyo, kwa mara nyingine tena chaap nikakata simu ili nirudi kule kucheki kama hakijasanuka niombe fasta nifute msg, kufika mda wa kupokea simu umeisha wana wote washasepa Simu ishapelekwa kwa Sista.

Kurudi kwa mpishi angalau nimtafute tuongee vzr ananiambia namba za wanafunzi hua anafuta ukimaliza tuu, Daaadeki hapa sasa ndio tumbo la kuhara likaanza, kule shuleni kwao atatafutwa mwenye mimba(kila baada ya miezi kadhaa hua wanapimwa ujauzito), mimi,
huku shule kwetu taarifa ya kujaza mtoto wa watu, nyumbani Kuachilia mimba tuu, kutembea na mtoto wa anko ni mada nyingne.
Serikali nako kumpa mimba mwanafunzi.

Kila mazingira niliyokua nawaza nilikua naona kabisa sichomokii, hata kama shuleni wasipogundua mapema, Msg itaonekana, hata isipoonekana, akirudi home atajulikana. Nikiwaza Mawasiliano nimepoteza, Kumbuka wakati nakata simu kwa mpishi nilimwambia kua ile simu ni ya ofisi hivyo hawezi piga tena, na kwa mpishi kabla sijakata nilimwambia usipige nitakupigia hii simu si salama..., Kwahio suala la yeye kupiga hilo halipo tena, Na wakati naongea naye alikua anasikika kwa sauti ya kulia, nikiwaza hapo ndio nachoka.

Nikaongea na Mwl flani nikamwambia naomba unitaftie Mwl yoyote wa shule flani anitaftie ndugu yangu anasoma pale kuna jambo niongee naye, Nikampata, kabla ya yote nikamwambia nitumie namba ya haraka na salama mimi kumpata mda wowote, na mimi nikamtumia ya mdau flani hivi.

Basi tukajifanya tunasalimiana pale, nikakata simu akatuma namba kwenye msg na mimi nikatuma nikaandika kwenye Diary, nikasepa..
Baadae akanitafuta, nikamtuliza, inshu tunafanyaje, option ya kuitoa kila mtu anaogopa kumuanza mwenzake, inshu ikaja tumbambikie mtuu, mtihani ni hivii unambambikiaje mtuu nakati hata hamjawahi kutana(mimi ndiye niliyemla pekee).

Sasa kuna walimu walikua wanamsumbua sana pale, nikamwambia kama vipi mpe mmoja wapo. Kabla ya kufikia muafaka mawasiliano yakakata, baada ya siku hio hamna tena mazingira ya kuongea na simu maana kote mitihani ilikua inaanza, Inshu ikawa kule kwa sista, hapo nawaza ya kua washajua wanasubiri tuu siku tunafunga napewa vyangu(ndio kawaida mtu kutimuliwa siku ya kufunga).

Niliishi kwa mateso sijapata ona. Siku Tunamalizia mtihani mshkaji wangu akanifuata yaani simple tuu asijue nateseka akaniambia "we boya ile siku umenipa tuu simu ikaingia msg ya ujauzito nikaifuta jamaa umezidi" Nikasimama, nikamuuliza nilichosikia ni kweli au wenge?

Yule ndugu Sijawahi msahau mpaka leo hii. Baada ya ups and downs nyingi Sijui ni miujiza gani, dogo mwezi uliofuatia akapata siku zake. Kuna mambo mengine mengi ila hili ni mojawapo. Ilaa daah watu hatukomii, mtu unaapa kabisa kama hili likipita sitarudia, ila kesho kesho kutwa unarudia.

Share
 
Hiyo misala tumeitatua sana kwa mbinde hizo harakati za kumpa denti mimba wakati na wewe bado ni denti zisikie tu kwa jirani.Kuna mwanangu yeye na demu wake walikua hata hawajui kama wamepeana mimba mpaka kwenye michezo ya UMISETA ndio demu anagundulika baada ya kuanguka wakati anacheza netball hapo mimba ina miezi 6.

Mwana siku hiyo hiyo akajiachisha shule nakutokomea kusiko julikana msala ukabaki kwangu niliyekua nashare nae ghetto. Nilizunguka sana Serikali ya kijiji na kuhudhuria vikao vya usuluhishi.

Na huo ndio ukawa mwisho wa mimi kukaa ghetto.
 
Mwenyewe moja ya misala mikubwa ndio hii ya Mimba kwa vident na wa Ngwengwee....

Halafu inshu ikiisha siku ikaja nyingine unasema afadhali na ile, hii ni kubwa,
Likipita hilo unajisahau unatafuta jingine,

Mshkaji naye likamkuta la namna kama hiyo, eti mawazo yake bint wa watu aumwe afe ili msala uishee......
Aliishia kuoa na sasa wanalea wapili kwa raha kabisa.
 
Hiyo misala tumeitatua sana kwa mbinde hizo harakati za kumpa denti mimba na wewe bado ni zisikie tu kwa jirani.... Kuna mwanangu yeye na demu wake walikua hata hawajui wamepeana Mimba mpaka kwenye michezo ya UMISETA ndio demu anagundulika baada ya kuanguka wakati anacheza netball hapo mimba ina miezi 6.
Mwana siku hiyo hiyo akajiachisha shule nakutokomea kusiko julikana msala ujabaki kwangu niliyekua nashare nae ghetto. Nilizunguka sana Serikali ya kijiji na kuhudhuria vikao vya usuluhishi. Na huo ndio ukawa mwisho wa mimi kukaa ghetto.

Mimi nilikuwa na kidemu flani amazing sana kimefungashia hatari kitoto cha form 3 mimi nipo chuo, mwaka wa kwanza, nikua nimepanga jirani basi kila usiku kinakuja napiga kinasepa mwanzo nikua natumia kondom mara kukazoea nikaanza kavu

Basi siku moja rafiki zake wakaja wakanikuta nimetulia zangu nje na headphone kubwa masikioni mara naitwa naambiwa najua unatembea flani ila usikubali kufanyanae pekupeku maana ana VVU ha ha ha ha ha ebama eheeee niliisi kuzimia , nikaanza kupewa mkasa mzima jinsi alivyopata VVU , yani baba yake alikufa na ngoma afu kuna mtu anapiga yeye na mama yake mana yake mama na mtoto wana share jamaaa kumbuka Mama na yeye yupo kwenye grid

wale watoto wanasema wananionea huruma kwani hawapendi nife, baada ya hapo wakaondoka, hapo hapo nikaisi naanza kuugua kwa wenge kusoma nikashindwa nikawa mtu wa kulala na mawazo tu, kuna boya mmoja jamaa yangu sana akagundua sipo sawa ikabidi nimweleze ukweli, jamaa lilivyojinga likaanza kujicheka badala ya kunipa pole

ila baadae jamaa akaniambia sikia we boya kama ana ukimwi niwake twende ukapime unaweza kuwa unajitesa kumbe huna , hapo ndio kimbembe kikaaanza nikamwambie sipimi mie hata polisi waje

basi imepita miezi kadhaa dogo alikuwa kasafiri mara yule dogo siku bado na mawazo mara kaja gheto anataka hapo kwanza picha ndio lilikuwa linaanza, nilimpa maneno kama yote na kutaka kumpiga dogo katulia kama anisikiii afu namaliza anasema kauli moja tu twende kupima, nikasema kama tukiwa wazima mimi na mademu ndio mwisho siku hiyo sirudii tena hadi nifunge ndoa

nikajikaza hivyo tukaenda ebana majibu tupo wote vizuri, hapo hapo kitoto kikasema rafiki zake uwa wanakaonea wivu na wanasambaza uongo kisa uzuri wake , baada ya hapo tukaendelea kama kawa hadi namaliza chuo baada ya hapo sijawai kukasikia tena
 
Katika Maisha tunapitia mengi sanaa ila kuna mengine yanakuweka katika wakati mgumu hadi kufikia hatua ya kuona Mtihani huo ndio Mkubwa na haitokuja kutokea mwingine kuuzidi....

1. Nilipita na mtoto wa Anko, alikua mzuri kiasi kwamba sikuweza jizuia, alikua mwoga sana hata kuongea na mwanaume, Nafasi pekee ilikua kwangu, Tulikua age moja, Tukafanya yetu tukamaliza, kumbe alikua kwenye Siku zake banaa, Mwezi unakata haoni siku zake, Alikua shule ya boarding hizi za St Mary's, akatafuta simu akanipigia kupitia namba ya shule tunatumia kuwasiliana yeye alikua hajui kua ile namba ni official kwa ajili ya wanafunzi akajua ni ya mshkaji.
Nikaitwa, ya kua kuna simu kutoka kwa ndugu yako, Baada ya mda akapiga, Nilipokea mbele ya Mwl nikijua hamna shida ile napokea tuu ananiambia Nina ujauzito....

Paaap, nikajaaa wenge, Kukata siwezi, kuongea siwezi maana wapo hapo, Nikabaki najizungusha tuu pale, nikaona isiwe tabu nikamwambia Pole sanaa, nikakata simu, nikaandika ile namba kwenye kiganja Nikampa simu mwenzangu mwingine nikakimbilia haraka kwa Mpishi kuomba simu, nikampigia,

Kumbe Sasa yeye alipoona nimemwambia pole na nikakata simu, akajua sijaelewa, Na anajua simu ninayo, akatuma msg " Mimi .........Nina ujauzito".

Kwahio msg imebaki kule, ile ananiambia tuu hivyo, kwa mara nyingine tena chaap nikakata simu ili nirudi kule kucheki kama hakijasanuka niombe fasta nifute msg, kufika mda wa kupokea simu umeisha wana wote washasepa Simu ishapelekwa kwa Sista....

Kurudi kwa mlinzi angalau nimtafute tuongee vzr ananiambia namba za wanafunzi hua anafuta ukimaliza tuu, ...

Daaadeki hapa sasa ndio tumbo la kuhara likaanza,
1. Kule shuleni kwao atatafutwa mwenye mimba(kila baada ya miezi kadhaa hua wanapimwa ujauzito), mimi,
2. Huku shule kwetu taarifa ya kujaza mtoto wa watu,
3. Nyumbani Kuachilia mimba tuu, kutembea na mtoto wa Anko ni mada nyingne.
4. Serikali nako kumpa mimba mwanafunzi..

Kila mazingira niliyokua nawaza nilikua naona kabisa sichomokii, Hata kama shuleni Wasipogundua mapema, Msg itaonekana, hata isipoonekana, akirudi home atajulikana,

Nikiwaza Mawasiliano nimepoteza, Kumbuka wakati nakata simu kwa mpishi nilimwambia kua ile simu ni ya ofisi hivyo hawezi piga tena, na kwa mpishi kabla sijakata nilimwambia usipige nitakupigia hii simu si salama..., Kwahio suala la yeye kupiga hilo halipo tena, Na wakati naongea naye alikua anasikika kwa sauti ya kulia, nikiwaza hapo ndio nachokaa....

Nikaongea na Mwl flani nikamwambia naomba unitaftie Mwl yyt wa shule flani anitaftie ndugu yangu anasoma pale kuna jambo niongee naye,
Nikampata, kabla ya yote nikamwambia nitumie namba ya haraka na salama mimi kumpata mda wowote, na mimi nikamtumia ya mdau flani hivi...
Basi tukajifanya tunasalimiana pale, Nikakata simu akatuma namba kwenye msg na mimi nikatuma nikaandika kwenye Diary, nikasepa..

Baadae akanitafuta, nikamtuliza, inshu tunafanyaje, option ya kuitoa kila mtu anaogopa kumuanza mwenzake, inshu ikaja tumbambikie mtuu, mtihani ni hivii unambambikiaje mtuu nakati hata hamjawahi kutana(mimi ndiye niliyemla pekee)...

Sasa kuna walimu walikua wanamsumbua sana pale, Nikamwambia kama vipi mpe mmoja wapo...
Kabla ya kufikia muafaka mawasiliano yakakata, baada ya siku hio hamna tena mazingira ya kuongea na simu maana kote mitihani ilikua inaanza,..

Inshu ikawa kule kwa sista, hapo nawaza ya kua washajua wanasubiri tuu siku tunafunga napewa vyangu(ndio kawaida mtu kutimuliwa siku ya kufunga)

Niliishi kwa mateso sijapata onaa....,
Siku Tunamalizia mtihani mshkaji wangu akanifuata yaani simple tuu asijue nateseka akaniambia "we boya ile siku umenipa tuu simu ikaingia msg ya ujauzito nikaifuta jamaa umezidi" Nikasimama, nikamuuliza nilichosikia ni kweli au wenge????

Yule ndugu Sijawahi msahau mpaka leo hii

Baada ya ups and downs nyingi Sijui ni miujiza gani, dogo mwezi uliofuatia akapata siku zake...

Kuna mambo mengine mengi ila hili ni mojawapo...
Ilaa daah watu hatukomii, mtu unaapa kabisa kama hili likipita sitarudia, ila kesho kesho kutwa unarudia.

Share
hizo shule zilikuwa mkoa mmoja?
 
Enzi za utoto wangu nilikuwa mtundu sana aisee.

Siku moja niko home choo chetu na jiko vilikuwa ni vya nyasi,sasa nikakaa nikaangalia zile nyasi kule juu nikasema aaah hivi mchana huu nikiweka njiti ya kiberiti itawaka kweli na kumaliza nyasi zote hizi ?

Faza enzi hizo ni mtata sana yaani.

Basi baada ya kuwaza nikasema sio kesi acha niweke njiti ya kibiriti niwashe nione kama itawaka kwa nyasi zote hizi.

Kidume nikawasha nikatulia kuskilizia mshindo,kuna kimoshi kikatoka alafu kikazimika nikasema aaah kumbe haiwezi kuwasha,nikaendelea kufanya mambo mengine.

Kumbe bhana ule moto ulikolea ndani kwa ndani ukawa unafukuta juu kunatoka moshi mimi niko ndani sina habari.

Kumbuka kuwa hapo nyumbani nilikuwa peke yangu watu wote hawapo.aisee nashangaa kuna mzee jirani yetu anakuja mbio sana anaita nikashangaa anaita nini huyuu ?,anakuja anasema motoooooo mootoooo moyo ukapiga paaap nikajiuliza moto ule nilowasha mie au moto ungine ? Nikajipa moyo nikasema ule wangu ulizimika huu utakuwa ni moto mwingine.

Daaah kutoka nje kutazama juu laaaaaa hawlaaaaa kitu chekunduuuu moto mkubwa unawaka alafu jua kali,daaah aisee nilipata sonona mana hapo sikuwaza tena huo moto bali niliwaza kichapo cha faza na maza maana wote walikuwa watata sana nikizingua.

Daaah basi yule mzee akahangaika sana kuzima ule moto huku mimi nikiwa nimepata butwaa la ghafla na mawazo tele kichwani mithili ya mtu mwenye familia.

Shida ni kwamba
Ilibidi auzime moto ule kwa maji ya ndani kwetu jikoni,na hilo jiko ambalo ndio kuna maji juu ndi kunawaka moto,ama kwa hakika ilikuwa shughuli pevu sana siku hiyo.

Mzee ikabidi ajitoe muhanga akawa anaingia ndani anachukua maji anakuja anazima.

Kwa hiyo nikawa na misala miwili.

1.msala wa kuwasha moto.

2.msala wa kumaliza maji ndani na kkulekwetu kusini maji ilikuwa shida miaka ile mpaka ununue kwa ndoo alafu mimi nakuja kumaliza maji kwa uzembe wa kuwasha moto.

Daaah mwisho mzee kauweza moto ukazimika lakini lile paa la nyumba la nyasi ukiangalia kwa juu ni kama mtu mwenye kipara namna ambavyo lilikuwa likionekana.

Ikabidi mzee anihoji mimi nokampa ukweli wote,na yeye waliporudi wazee akawasimulia kama nilivyomsimulia na hiyo wazazi wakatafsiri kwamba ni upumbavu wangu.

Yule Mzee aliwaasa wazee wangu wasinipige lakini nahisi kwao ilisound"mumpigeee hasaa huyoo"

Daaaah

Daaaah

Daaahh.

Ushawahi kupigwa mpaka inafikia hatua ukipigwa ndo unanyamaza na ukiachwa ndo unalia ?

Nahisi kipigo kile kilicontain kipigo cha kuwasha moto na kipigo cha kumaliza maji na kipigo cha kusumbua wazee wa watu.

Lakini uzuri walikuwa wananipiga maeneo mabayo siwezi kupata madhara makubwa,yani unapigwa maeneo ambayo unasikia maumovu lakini kufa hufi.

Mungu anitunzie wazazi wangu maana bila vile ningelikuwa toto sumbufu sana kwa sababu nilikuwa mtundu sana.

Baada ya soo hili nikasema mimi na majaribio ya kipuuzi baasi tenaaa nimekoma.

Thubuuutuuu...

Nikaja kufanya soo lingine la kuiba aisee(sikumbuki soo gani lilitangulia)

faza kazipanga shilingi mia nyingi usikuu mezani tena chumbani kwake.

Mimi nikavizia faza na maza wako nje kwa kujiamini nikasema hawaingii saivi,kidume nikazama ndani fresh.

Nilipozama ndani nikachomoa mia ya chini hizi za juu zikaparaganyika,nikashindwa kuzipanga.

Ishu nikajiuliza sasa faza kaijua kama nimeiba 100 itakuwaje ? Kidume nikasema solution ni kutawanya hizi pesa pururu mpararo tuu kama mbwai na iwe mbwai,basi kwa ujinga nikazitawanya zile pesa kama hazikupangwa vile alafu nikaondoka na shilingi mia yangu.

Daaaah ishu ikabuma tena siku hiyo usiku baba na mama wapo wote.

Mama alinitandika saana na kamba za ukili mpaka akili ikakaa sawa.

Ila huu ni wakati wa utoto sana around miaka 4- 7,umri huu mara nyingi mtoto anaona akipigwa naaonewa.
 
Katika Maisha tunapitia mengi sanaa ila kuna mengine yanakuweka katika wakati mgumu hadi kufikia hatua ya kuona Mtihani huo ndio Mkubwa na haitokuja kutokea mwingine kuuzidi....

1. Nilipita na mtoto wa Anko, alikua mzuri kiasi kwamba sikuweza jizuia, alikua mwoga sana hata kuongea na mwanaume, Nafasi pekee ilikua kwangu, Tulikua age moja, Tukafanya yetu tukamaliza, kumbe alikua kwenye Siku zake banaa, Mwezi unakata haoni siku zake, Alikua shule ya boarding hizi za St Mary's, akatafuta simu akanipigia kupitia namba ya shule tunatumia kuwasiliana yeye alikua hajui kua ile namba ni official kwa ajili ya wanafunzi akajua ni ya mshkaji.
Nikaitwa, ya kua kuna simu kutoka kwa ndugu yako, Baada ya mda akapiga, Nilipokea mbele ya Mwl nikijua hamna shida ile napokea tuu ananiambia Nina ujauzito....

Paaap, nikajaaa wenge, Kukata siwezi, kuongea siwezi maana wapo hapo, Nikabaki najizungusha tuu pale, nikaona isiwe tabu nikamwambia Pole sanaa, nikakata simu, nikaandika ile namba kwenye kiganja Nikampa simu mwenzangu mwingine nikakimbilia haraka kwa Mpishi kuomba simu, nikampigia,

Kumbe Sasa yeye alipoona nimemwambia pole na nikakata simu, akajua sijaelewa, Na anajua simu ninayo, akatuma msg " Mimi .........Nina ujauzito".

Kwahio msg imebaki kule, ile ananiambia tuu hivyo, kwa mara nyingine tena chaap nikakata simu ili nirudi kule kucheki kama hakijasanuka niombe fasta nifute msg, kufika mda wa kupokea simu umeisha wana wote washasepa Simu ishapelekwa kwa Sista....

Kurudi kwa mlinzi angalau nimtafute tuongee vzr ananiambia namba za wanafunzi hua anafuta ukimaliza tuu, ...

Daaadeki hapa sasa ndio tumbo la kuhara likaanza,
1. Kule shuleni kwao atatafutwa mwenye mimba(kila baada ya miezi kadhaa hua wanapimwa ujauzito), mimi,
2. Huku shule kwetu taarifa ya kujaza mtoto wa watu,
3. Nyumbani Kuachilia mimba tuu, kutembea na mtoto wa Anko ni mada nyingne.
4. Serikali nako kumpa mimba mwanafunzi..

Kila mazingira niliyokua nawaza nilikua naona kabisa sichomokii, Hata kama shuleni Wasipogundua mapema, Msg itaonekana, hata isipoonekana, akirudi home atajulikana,

Nikiwaza Mawasiliano nimepoteza, Kumbuka wakati nakata simu kwa mpishi nilimwambia kua ile simu ni ya ofisi hivyo hawezi piga tena, na kwa mpishi kabla sijakata nilimwambia usipige nitakupigia hii simu si salama..., Kwahio suala la yeye kupiga hilo halipo tena, Na wakati naongea naye alikua anasikika kwa sauti ya kulia, nikiwaza hapo ndio nachokaa....

Nikaongea na Mwl flani nikamwambia naomba unitaftie Mwl yyt wa shule flani anitaftie ndugu yangu anasoma pale kuna jambo niongee naye,
Nikampata, kabla ya yote nikamwambia nitumie namba ya haraka na salama mimi kumpata mda wowote, na mimi nikamtumia ya mdau flani hivi...
Basi tukajifanya tunasalimiana pale, Nikakata simu akatuma namba kwenye msg na mimi nikatuma nikaandika kwenye Diary, nikasepa..

Baadae akanitafuta, nikamtuliza, inshu tunafanyaje, option ya kuitoa kila mtu anaogopa kumuanza mwenzake, inshu ikaja tumbambikie mtuu, mtihani ni hivii unambambikiaje mtuu nakati hata hamjawahi kutana(mimi ndiye niliyemla pekee)...

Sasa kuna walimu walikua wanamsumbua sana pale, Nikamwambia kama vipi mpe mmoja wapo...
Kabla ya kufikia muafaka mawasiliano yakakata, baada ya siku hio hamna tena mazingira ya kuongea na simu maana kote mitihani ilikua inaanza,..

Inshu ikawa kule kwa sista, hapo nawaza ya kua washajua wanasubiri tuu siku tunafunga napewa vyangu(ndio kawaida mtu kutimuliwa siku ya kufunga)

Niliishi kwa mateso sijapata onaa....,
Siku Tunamalizia mtihani mshkaji wangu akanifuata yaani simple tuu asijue nateseka akaniambia "we boya ile siku umenipa tuu simu ikaingia msg ya ujauzito nikaifuta jamaa umezidi" Nikasimama, nikamuuliza nilichosikia ni kweli au wenge????

Yule ndugu Sijawahi msahau mpaka leo hii

Baada ya ups and downs nyingi Sijui ni miujiza gani, dogo mwezi uliofuatia akapata siku zake...

Kuna mambo mengine mengi ila hili ni mojawapo...
Ilaa daah watu hatukomii, mtu unaapa kabisa kama hili likipita sitarudia, ila kesho kesho kutwa unarudia.

Share
We call it truggle on its own kind
 
Enzi hizo sasa ukikaribia mwaka mpya mnatengeneza vi baruti mnaweka kwenye vichwa vya spoku za baiskeli mkiona watu wamekaa mnavitest pwaaaa watu wakishituka mnakimbia kwa furaha, lengo ni kwamba ikifika saa 6:01 kuanza mwaka mwingine mnavipiga kama kusherehekea mwaka mpya (watoto wa siku hizi hawayajui hayo)......

Basi bwana mwaka fulani huo nilidhamiria kuvunja rekodi ya kutengeneza baruti itakayounguruma kuzidi baruti nyingine zote pale mtaani na ikibidi mitaa ya jirani, mzee wangu alikuwa fundi makenika, kwenye makorokoro yake nilipata jeki moja ndogo ambayo ilikuwa imetolewa utumbo ikabaki wazi katikati.

Kuna kaka yangu alikuwaga ametoka Moshi (kama sikosei), huko alikuwa anafanya kazi kiwanda cha kutengeneza viberiti, alikuja na kisado kizima kimejaa unga wa baruti (sijui nae alikileta kwa madhumuni gani tu).....mi nikaiba ule unga wa baruti kwa ajili ya kutengeneza mzinga wangu.

Siku ya tar 31 December nikafanya maandalizi yote, lakini nikapata wazo moja kwamba sitoweza kwenda kukamua ile device pale ili kusababisha mlipuko, nilichokifanya nikategesha jiwe zito juu ya usawa wa lile komboro langu, nilikuwa nimelitega nyuma ya banda la mbuzi nyumba ya jirani yetu........

Bwana weeeeeee.......

Nikamshirikisha kijana wa ile nyumba ambae tulikuwa rika moja tu kuhusu mpango wangu, akataka aende akaangalie.....kufika akakuta nilivyolitega akasema eti nimekosea, akaanza kuliseti upya......

Aiseeeeeeee..........

Ilikuwa yapata kama saa 11 hivi za jioni mzigo ukaitika pale.......boonge ya kishindo, vumbi zito likatimka hewani, banda la mbuzi likaporomoka lote, harufu ya baruti ikasambaa eneo lote......cha kwanza nikakimbia hadi nyumbani, sina amani wazazi wanakimbizana kutafuta watoto wao.

Taarifa za baadae zikatoka......yule jamaa alikatika vidole vitatu vya mkono wa kushoto, ndama wawili wa mbuzi walikufa kifo cha kikatili sana......lakini yote kwa yote yule rafiki yangu (R.I.P) hakusema chochote kuhusu uhusika wangu kwenye kadhia ile.

Mama akajua moja kwa moja kuwa mimi ndio injinia wa ule mpango......jamani nilipigwa sio mchezo, hadi kuna muda nilikuwaga najiuliza kama mama hajawahi kupitia kozi zozote za kijeshi, maana nilipigwa staili zote za kwenye mieleka kuanzia hizi Rko za Rand Orton pigwa sana 619 za Rey Mystereo, chomeshwa kichwa chini kama Under taker, mara nibanwe mguu mmoja huku nimevutwa shingo kwa nyuma John Cena anavyofanyaga.......yani kilikuwa ni kipigo mchanganyiko. hadi nilipokuja kuanza kuangalia mieleka nikajiuliza hawa jamaa walimuiga mama au.......

Hilo likapita.....miezi kadhaa baadae nilikuja kuvurumua msala mwingine mzito sana, kwa kweli siwezi kuuelezea maana ulikuwa uondoke na roho yangu.
 
God shall wipe away all tears;
There's no death, no pain, nor fears
 
Enzi za utoto wangu nilikuwa mtundu sana aisee.

Siku moja niko home choo chetu na jiko vilikuwa ni vya nyasi,sasa nikakaa nikaangalia zile nyasi kule juu nikasema aaah hivi mchana huu nikiweka njiti ya kiberiti itawaka kweli na kumaliza nyasi zote hizi ?

Faza enzi hizo ni mtata sana yaani.

Basi baada ya kuwaza nikasema sio kesi acha niweke njiti ya kibiriti niwashe nione kama itawaka kwa nyasi zote hizi.

Kidume nikawasha nikatulia kuskilizia mshindo,kuna kimoshi kikatoka alafu kikazimika nikasema aaah kumbe haiwezi kuwasha,nikaendelea kufanya mambo mengine.

Kumbe bhana ule moto ulikolea ndani kwa ndani ukawa unafukuta juu kunatoka moshi mimi niko ndani sina habari.

Kumbuka kuwa hapo nyumbani nilikuwa peke yangu watu wote hawapo.aisee nashangaa kuna mzee jirani yetu anakuja mbio sana anaita nikashangaa anaita nini huyuu ?,anakuja anasema motoooooo mootoooo moyo ukapiga paaap nikajiuliza moto ule nilowasha mie au moto ungine ? Nikajipa moyo nikasema ule wangu ulizimika huu utakuwa ni moto mwingine.

Daaah kutoka nje kutazama juu laaaaaa hawlaaaaa kitu chekunduuuu moto mkubwa unawaka alafu jua kali,daaah aisee nilipata sonona mana hapo sikuwaza tena huo moto bali niliwaza kichapo cha faza na maza maana wote walikuwa watata sana nikizingua.

Daaah basi yule mzee akahangaika sana kuzima ule moto huku mimi nikiwa nimepata butwaa la ghafla na mawazo tele kichwani mithili ya mtu mwenye familia.

Daaah mwisho mzee kauweza moto ukazimika lakini lile paa la nyumba la nyasi ukiangalia kwa juu ni kama mtu mwenye kipara namna ambavyo lilikuwa likionekana.

Ikabidi mzee anihoji mimi nokampa ukweli wote,na yeye waliporudi wazee akawasimulia kama nilivyomsimulia na hiyo wazazi wakatafsiri kwamba ni upumbavu wangu.

Mzee iwaasa wazee wasinipige lakini nahisi kwao ilisound"mumpigeee hasaa huyoo"

Daaaah

Daaaah

Daaahh.

Ushawahi kupigwa mpaka inafikia hatua ukioigwa na unanyamaza na ukiachwa ndo unalia ?

Mungu anitunzie wazazi wangu maana bila vile ningelikuwa toto sumbufu sana kwa sababu nilikuwa mtundu sana.

Baada ya soo hili nikasema mimi na majaribio ya kipuuzi baasi tenaaa nimekoma.

Kama naona wanao watakavyokuja kunyooka
 
fala sana
 
haahahahaha umenichekesha kweli
pole sana. watoto wa kiume mmezidi utundu. mnasumbua sana wazazi
kwa majaribio yenu hayo
 
Hahaha
 
Mimi nilikuwa na kidemu flani amazing sana kimefungashia hatari kitoto cha form 3 mimi nipo chuo, mwaka wa kwanza, nikua nimepanga jirani basi kila usiku kinakuja napiga kinasepa mwanzo nikua natumia kondom mara kukazoea nikaanza kavu

Basi siku moja rafiki zake wakaja wakanikuta nimetulia zangu nje na headphone kubwa masikioni mara naitwa naambiwa najua unatembea flani ila usikubali kufanyanae pekupeku maana ana VVU ha ha ha ha ha ebama eheeee niliisi kuzimia , nikaanza kupewa mkasa mzima jinsi alivyopata VVU , yani baba yake alikufa na ngoma afu kuna mtu anapiga yeye na mama yake mana yake mama na mtoto wana share jamaaa kumbuka Mama na yeye yupo kwenye grid

wale watoto wanasema wananionea huruma kwani hawapendi nife, baada ya hapo wakaondoka, hapo hapo nikaisi naanza kuugua kwa wenge kusoma nikashindwa nikawa mtu wa kulala na mawazo tu, kuna boya mmoja jamaa yangu sana akagundua sipo sawa ikabidi nimweleze ukweli, jamaa lilivyojinga likaanza kujicheka badala ya kunipa pole

ila baadae jamaa akaniambia sikia we boya kama ana ukimwi niwake twende ukapime unaweza kuwa unajitesa kumbe huna , hapo ndio kimbembe kikaaanza nikamwambie sipimi mie hata polisi waje

basi imepita miezi kadhaa dogo alikuwa kasafiri mara yule dogo siku bado na mawazo mara kaja gheto anataka hapo kwanza picha ndio lilikuwa linaanza, nilimpa maneno kama yote na kutaka kumpiga dogo katulia kama anisikiii afu namaliza anasema kauli moja tu twende kupima, nikasema kama tukiwa wazima mimi na mademu ndio mwisho siku hiyo sirudii tena hadi nifunge ndoa

nikajikaza hivyo tukaenda ebana majibu tupo wote vizuri, hapo hapo kitoto kikasema rafiki zake uwa wanakaonea wivu na wanasambaza uongo kisa uzuri wake , baada ya hapo tukaendelea kama kawa hadi namaliza chuo baada ya hapo sijawai kukasikia tena
mtoto wa kiume anapotumia neno "mie "napata ukakasi sana
 
Back
Top Bottom