Msako wa uamsho..... Sasa mpaka facebook

Ile bar kwa raju ndio wanapiga taarabu ya mashoga na wasagaji, hakika uamusho hawawezi ichoma moto
 
Ha ha haaa mkuu mimi hapa na facebook pia nipo tena nimeweka data zangu zote na ninachojisikia kuandika hufanya hivyo bila kuogopa. Na siku zote wanapopelekwa Mahakamani MASHEIKH wetu ni miongoni mwa watu wa mwanzo kufika. Hata hile picha ya masheikhe walionyolewa ndevu ambayo Magazeti yote walítumia niliipiga mimi. Na kikubwa zaidi memba wote wa JF kutoka Zanzibar ni Wana UAMSHO. Inshort 85% ya Vijana wa Kizanzibari ni UAMSHO.
nani kakuuliza ujinga huu wote:bange:
 
MSAKO MPAKA KWENYE
FACEBOOK

Kwataarifa tulizozipata kuwa
jeshi la polisi limeanza msako
kupitia mitandao ya jamii
hususan Facebook.
Kupitia Makao Makuu yao ya
Polisi wameweka watu maalum wanaoshulikia mitandao
ilikuona vipi watu
wanavoshajihishana kupitia
mitandao ya kijamii.ili waweze
kudhibiti yasije yakatokea
kama ya Misri kwani mitandao ndio iliosaidia kufanya
mapandizu katika nchi hizo za
KASAKAZINI mwa Afirca.
Kwa kuthibitisha hilo page yetu
kwa muda wasiku 5 hivi ilikuwa
imefungwa siwezi kufanya lolote na siwezi kutuma taarifa
yoyote.

Walizaribu kutaka kuiblock ila
kutokana page hii inaendeshwa
na wataalamu walobobea
katika fani hii hilo limeshindikana na mtego wao
leo tuliunasa.
Ila tunawatahadharisha
wazanzibar wote usi accept
mtu ambae humjui kwani sasa
wameanza kufanya operesion hiyo ya kujifanya friend na mtu
halafu waweze kumtia
mikononi.
Wanaowataka hasa wale
ambao wanaweka post ambazo
zinaelezea zanzibar tupate uhuru na zile post za kuwaunga
Uamsho. Tunatakiwa tuwemakini.
TUACHIWEE..........TUPUMUWEEE..

Source: Facebook page yao

Wewe mbona kama ni mmja wao?
 
Ha ha haaa mkuu mimi hapa na facebook pia nipo tena nimeweka data zangu zote na ninachojisikia kuandika hufanya hivyo bila kuogopa. Na siku zote wanapopelekwa Mahakamani MASHEIKH wetu ni miongoni mwa watu wa mwanzo kufika. Hata hile picha ya masheikhe walionyolewa ndevu ambayo Magazeti yote walítumia niliipiga mimi. Na kikubwa zaidi memba wote wa JF kutoka Zanzibar ni Wana UAMSHO. Inshort 85% ya Vijana wa Kizanzibari ni UAMSHO.
aisee! kweli wanadamu tumeumbwa tofauti tofauti.
 
Ha ha haaa mkuu mimi hapa na facebook pia nipo tena nimeweka data zangu zote na ninachojisikia kuandika hufanya hivyo bila kuogopa. Na siku zote wanapopelekwa Mahakamani MASHEIKH wetu ni miongoni mwa watu wa mwanzo kufika. Hata hile picha ya masheikhe walionyolewa ndevu ambayo Magazeti yote walítumia niliipiga mimi. Na kikubwa zaidi memba wote wa JF kutoka Zanzibar ni Wana UAMSHO. Inshort 85% ya Vijana wa Kizanzibari ni UAMSHO.
kwanini unaikubali uamsho badala ya CUF AU CCM AU CHADEMA
 
Ha ha haaa mkuu mimi hapa na facebook pia nipo tena nimeweka data zangu zote na ninachojisikia kuandika hufanya hivyo bila kuogopa. Na siku zote wanapopelekwa Mahakamani MASHEIKH wetu ni miongoni mwa watu wa mwanzo kufika. Hata hile picha ya masheikhe walionyolewa ndevu ambayo Magazeti yote walítumia niliipiga mimi. Na kikubwa zaidi memba wote wa JF kutoka Zanzibar ni Wana UAMSHO. Inshort 85% ya Vijana wa Kizanzibari ni UAMSHO.

Kujishaua mbele za watu na kujifanya kidume halafu mkikamatwa kumenywa kichwa mnalialia.

Tena wewe wana hamu na wewe maafande
 
nyie fanyeni dharau na furaha lakini hayo mtayapa pia 2015 .tupo hapa hapa ....kama kunyolewa ama kukojolewa..haya sio ya uamsho tu ..kila anti ccm

Kwani UAMSHO ni Anti-CCM?

Ndio maana nikasema washenzi nyinyi. UAMSHO ni kikundi cha dini, sasa kinakuwaje Anti-CCM? Ina maana hamna watu wa hiyo dini yenu ambao ni wanachama wa CCM?

Bora mkojolewe kweli, kama mnathubutu kutumia dini kwenye siasa basi nyie ni zaidi ya ukoma
 
Back
Top Bottom