MSAKO! MSAKO! MAMNDENYI YUKO WAPI WAJAMENi???

Sitaki nukuu nataka aje hapa mwenyewe aseme kwa kinywa chake wanachit-chat wote waone na hiyo ndo nasubiria.
 
Mamndenyi kamu zis way and sey samsingi. By ze wey what time is it in ist africa now? Niko state nakamu kesho na hapa ni saa kumi na dkk 52 jion IJUMAA
 
Wewe binti uitwaye mamndenyi nataka utoe statement hapa kuwa wewe ni wangu au wa katavi. Please reply.
 
Mamdenyi hatawataja scapegoats because she knows what we PM each other!!, dogo Arushaone nikwambie tu ukweli kuwa mwenye kisu kikali ndo anayekula nyama. hata Erickb52 anajua hilo
 
Last edited by a moderator:
Baba V tangu lini nilikupa kazi ya kuwa msemaji wa familia yangu? Eeh? Wife sikumbuki kama tulishamwajiri baba veronica awe msemaji wetu kuwa nakuuliza wewe maswali yeye anajibu! why? ngoja nikoki hiki kitu MAGNUS .38 namwaga mtu ubongo hapa saa hii.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…