Msajili wa vyama vya Siasa aungana na CCM na Serikali kudai kuenguliwa kwao ni uzembe wao wafuate kanuni

Inasikitisha sana...

Ina maana kwamba waliyokosea kujaza fomu ni wapinzani, tu ila wa chama tawala wote wamejaza kil kitu vizuri...

Kitu ambacho siyo kweli...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom