Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,661
- 140,287
Mkuu hawa watu wamechanganyikiwa kama watu wenye mapepo.Hakuna kitu kibaya kama kumpiga mtumishi wa Mungu
ole wao
Mkuu hawa watu wamechanganyikiwa kama watu wenye mapepo.Hakuna kitu kibaya kama kumpiga mtumishi wa Mungu
Chadema ni ya kufutwa halafu viongozi wake wanyongwe hadharani
. Umemaliza au kuna jingineHebu argue kwa hoja na vihoja.Tunaosoma siyo nyie tu.Acha matusi,unatia aibu.Na nitashangaa kama Mods watakuacha tu.
Tanzania daima hili.gazeti lisipoangaliwa vizuri litaleta machafuko.
Padre mwenyewe mbona km kibaka tu wa mtaani.
Alafu.chadema bado tu mnaendelea na mbinu ya kukifanya chama kiwe maarufu?
Mana hizo mbinu zenu ni chafu na serikali inazijua.
Na.wale.waliokamatwa wamekiri.ni vijana wa bmp lwakatale na ndo kawatuma
Hii ndio ccm ya majangili
Nina hakika siku nchi hii itakapokombolewa kundi haramu la Green Guard lazima lisimame mbele ya mahakama ya kimataifa The Heague.
Hili kundi la Green Guard linafanya vitendo kama vya waasi wa M23.
. Umemaliza au kuna jingine
Nisingependa kujibazana nawe,ila nafikiri meseji yangu umeipata vyema na utaitendea haki.
asante Mungu hatimae chama cha wauwaji kufutwa..
Hakuna haja ya kusubiri hilo.Ni pale mikutano inapofanyika na viongozi wakahubiri uadui au uhasama basi mwenye ushahidi aupeleke mahakamani ili haki ianze kutendeka,na hii itawezekana kama wanasheria na wanahabari kwanza wataanza kuipeleka statement ya RAIS mahakamani kama inaratibu fujo na kuondoa maelewano ndani ya Taifa letu.Naamini mahakama itatenda haki kwa kumweleza RAIS wetu ukweli.
Mkuu hawa watu wamechanganyikiwa kama watu wenye mapepo.Hakuna kitu kibaya kama kumpiga mtumishi wa Mungu
Ni sawa mkuu.Umenena haki.Wako wapi watakaofanyia kazi maandishi haya ili waweke historia?
CCM wameamua kuvua unyonge kama walivyoelekezwa na Mwenyekiti Kikwete.
acha usanii unafikiri CCM inaweza kufutwa, sema kuwa kuna uwezekano mkubwa wa CCM kupoteza jimbo, jambo la msingi ni CDM kujipanga vizuri ili kulinda kula zao kama walivyofanya arumeru.asante Mungu hatimae chama cha wauwaji kufutwa..
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Francis Mutungi ametua mkoani Iringa na kulaani vikali kitendo cha kupigwa vibaya kwa Padre wa Kanisa la Orthodox Parokia ya Basil Mkuu Baba Costantine Mbilinyi.
Akizungumza na waandishi wa habari msajili huyo amelaani vikali unyama huo usio na hata chembe ya ubinadamu na kusema tayari ofisi yake imeanza uchunguzi rasmi wa tukio hilo.
Jaji Mutungi amesema anatarajia kukutana na Padre Mbilinyi ili amweleze mkasa mzima ulivyotokea na baada ya hapo ofisi yake itachukua hatua kali bila kumpendelea wala kumuogopa mtu yeyote.
Padre huyo mwenye ushawishi mkubwa jimboni Kalenga alipigwa vibaya na wafuasi wa CCM kisha kumfunga kamba mikononi na miguuni na kuburutwa mithilili ya mwizi na kwenda kumtupa kizuizini katika ofisi ya kijiji.Kosa la Padre huyo inadaiwa ni kuonekana akiwa anazungumza na wafuasi wa Chadema.
Kanisa la Orthodox lina jumla ya makanisa 19 Jimboni Kalenga huku makanisa hayo yakiwa na waumini wengi.
Source:Tanzania Daima.
tushirikiane waliokaribu na hao polisi kuwaeleza hilo tu,ina maana hata ndungu zao au marafiki zao wa karibu wanashindwa kabisa kuwaeleza hilo.....Mkuu polisi majanga tu !!!
Nafikiri tufike mahali tutambue kuwa CCM wamekosa uadilifu kwa wananchi wanaowaongoza, ambapo wangetumia hekima ndogo sana wangeacha kutumia wahuni kuwashambulia watu wasio na hatia, wamefikia mahali pa kukosa hekima hadi wwnashambulia viongozi wa dini pasipo kuelewa kuwa viongozi wa dini wanaheshimika na kuogopwa na jamii kuliko wanasiasa.. unafikiri viongozi wa dini wakiamua kushawishi watu wao wanaowaamini kukikataa chama na wanasiasa itakuwaje? siku yaja na haiko mbali, ccm na watawala wao waovu wataijutia sana kwa kuwa wameshindwa kuwaheshimu wanaowaongoza..