Msajili wa vyama vya siasa aikalia kooni CCM

Msajili wa vyama vya siasa aikalia kooni CCM

Kiongozi habar za siku!

Kuna mkuu wa shule ya buluba high (shinyanga) anaitwa yegella... namkumbuka sanaa ni siku sana 19.. high level mpaka leo nasikia yupo.

Back to topic, ni dhahiri CDM watembee na unyama aliofanyiwa padri huyu kuwaelimisha wananchi na kueleza ushenz wote wa maCCM ili wananchi wachague bora zaidi.

Mkuu frema mpaka sasa wana Kalenga wanafahamu tukio hili la Kinyama na kila mtu anawalaani wahuni hawa
 
Last edited by a moderator:
mwoga huyo msajili hataweza fanya lolote, angekuwa anasoma nyakati basi aangefanya maamuzi makali na watanzania tungemkumbuka kam mtu wa kwanza kuiweka ccm pabaya.
 
mwoga huyo msajili hataweza fanya lolote, angekuwa anasoma nyakati basi aangefanya maamuzi makali na watanzania tungemkumbuka kam mtu wa kwanza kuiweka ccm pabaya.

Anapaswa kujiandikia historia ya kutukuka kwa tukio hili la kinyama kuwahi kishuhudiwa padre kupigwa na chama cha siasa tena kinachotawala
 
kazi na siasa za mwigulu hizi...na watazania watambuwe na wawe macho na hizi siasa chafu!maana kwa yaliyo tokea arumeru na yanayo endelea kutokea kalenga yana tupa picha, yatakayo tokea mwakani katika uchaguzi mkuu..
 
Tunachomshukuru Mungu amewaanika mapema sana.
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Francis Mutungi ametua mkoani Iringa na kulaani vikali kitendo cha kupigwa vibaya kwa Padre wa Kanisa la Orthodox Parokia ya Basil Mkuu Baba Costantine Mbilinyi.

Akizungumza na waandishi wa habari msajili huyo amelaani vikali unyama huo usio na hata chembe ya ubinadamu na kusema tayari ofisi yake imeanza uchunguzi rasmi wa tukio hilo.

Jaji Mutungi amesema anatarajia kukutana na Padre Mbilinyi ili amweleze mkasa mzima ulivyotokea na baada ya hapo ofisi yake itachukua hatua kali bila kumpendelea wala kumuogopa mtu yeyote.

Padre huyo mwenye ushawishi mkubwa jimboni Kalenga alipigwa vibaya na wafuasi wa CCM kisha kumfunga kamba mikononi na miguuni na kuburutwa mithilili ya mwizi na kwenda kumtupa kizuizini katika ofisi ya kijiji.Kosa la Padre huyo inadaiwa ni kuonekana akiwa anazungumza na wafuasi wa Chadema.

Kanisa la Orthodox lina jumla ya makanisa 19 Jimboni Kalenga huku makanisa hayo yakiwa na waumini wengi.

Source:Tanzania Daima.

Sehemu yoyote ambayo Mwigulu Mchemba atakuwepo lazima damu itamwagika.
 
ngedere amshikishe adabu nyani!? sahau hapo ni mazingaombwe tu hata siku moja kizibo hakiwezi kuitetemesha chupa
 
siku viongozi wa cdm wakikosa uvumilivu hakika nchi hii haitakalika , NAMUOMBA MUNGU SANA UVUMILIVU USIWAPONYOKE .
 
Usibadilishe mwelekeo maana sote macho na masikio yetu yako kwa Msajili wa Vyama kulalamika ushenzi unaofanywa na Wahuni wachache kwa maslahi ya kuwafurahisha wachache
 
Embu nendeni mkatombwe na waume zenu naona mnawashwa sana.nyie mamazenu hata la saba wamefika?

Hebu argue kwa hoja na vihoja.Tunaosoma siyo nyie tu.Acha matusi,unatia aibu.Na nitashangaa kama Mods watakuacha tu.
 
Huyo Mbilinyi ni muhuni tu!

Msalani,nadhani vidole vimeteleza siyo lugha nzuri kwa kiongozi huyu wa dini.Tuache ushabiki wa vyama tuwatendee haki watanzania wote bila kujali tofauti zao za rangi,dini,kabila na vyama waviaminivyo.Kuwa mzalendo,Tanzania ni yetu sote,Mchagga,muhehe,muha,mnyakyusa nk.MWanachama wa CCM NCCR,CUF,CDM nk wote wanahaki sawa na Tanzania yetu sote,wewe,mimi na yeye.

Tuwaheshimu viongozi wetu wa dini hata kama amevaa matambala au unadhani elimu yake haiko sawa nawe.
 
Mkuu hawa watu wamechanganyikiwa kama watu wenye mapepo.Hakuna kitu kibaya kama kumpiga mtumishi wa Mungu
 
Mkuu hawa watu wamechanganyikiwa kama watu wenye mapepo.Hakuna kitu kibaya kama kumpiga mtumishi wa Mungu

Tatizo letu ni watu wanaolinda usalama wa RAIA hawakuitoa vizuri kwenye vyombo vya habari ili kila mtu one ubaya wa vijana waliotenda hayo kwa kisingizio cha chama.AU inawezekana sababu si kiongozi wetu wa dini hivyo hatuhusu pia inaweza ikawa imeingia kichwani.

Nadhani Rais sasa atatambua neno aliloliongea halikustahili litoke kinywani mwake.
 
siku viongozi wa cdm wakikosa uvumilivu hakika nchi hii haitakalika , NAMUOMBA MUNGU SANA UVUMILIVU USIWAPONYOKE .

Tuko Pamoja sana.Tizidi kuwaombea hekima viongozi wa Chadema kama zile za Mfalme Suleiman.
 
Tatizo letu ni watu wanaolinda usalama wa RAIA hawakuitoa vizuri kwenye vyombo vya habari ili kila mtu one ubaya wa vijana waliotenda hayo kwa kisingizio cha chama.AU inawezekana sababu si kiongozi wetu wa dini hivyo hatuhusu pia inaweza ikawa imeingia kichwani.

Nadhani Rais sasa atatambua neno aliloliongea halikustahili litoke kinywani mwake.

Nina hakika siku nchi hii itakapokombolewa kundi haramu la Green Guard lazima lisimame mbele ya mahakama ya kimataifa The Heague.

Hili kundi la Green Guard linafanya vitendo kama vya waasi wa M23.
 
Back
Top Bottom