Hivi wewe unajua matumizi halisi ya neno ....MYTAKE?.....Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.
Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.
My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
Kilichotumika kumchapa ManaraMbona unamawazo wa ki TFF, kifungu kipi kitumike kmfungia mtu hasifanye siasa?
Apo sasa ndio patamu.Kwani maalim naye ana tambuliwa na msajili?.
Kubadili kumbu kumbu ili zifanane na matakwa yao.Ofisi ya Msajili inafuata sheria sio hisia mkuu
Mkuu hakuna kazi,kwani tatizo ni msajili,yeye ndie amekuza mgogoro.kazi ipo!!!
Umeaandika bullshit.Lipumba ni mhalifu tu.Chuki zako au kuhongwa kwako hakuondoi uhalali wa Lipumba kuwa Mwenyekiti halali wa CUF.
Aliondoka kihalali na akarudi kihalali...sasa muanzisha fujo ni katibu seif kwa kuwa anakumbatia na kukumbatiwa na Chadema tena waziwazi.
Kwahiyo hiyo katiba unayoitaja hapa, ambayo hata hujui kuitafsiri, inaelekeza kama barua yake haijajibiwa awatumie nyie wahuni kwenda kufanya vurugu kwenye mkutano wa maamuzi? Kwenye hiyo barua yake ya kujiuzulu alikuwa ameomba kujiuzulu au alikuwa amesema amejiuzulu na kuachana na siasa? Kwahiyo ulitaka CUF wamjibu nini? Nyie akina Bashite msitusumbue tafadhali......huyo fisadi mnayemtaja mbona hamumpeleki mahakamani na kila mwezi mnamlipa mamilioni ya fedha? Tuondoleeni upoyoyo wenu!Barua yake ilijadiliwa kwenye mkutano mkuu kaba katiba inavyotaka?yaani nyie mmeshiba fedha za fisadi sasa mnahaha kutekeleza matakwa yake.Aibu sana
Huyo atakua mhaya MainziMbona unamawazo wa ki TFF, kifungu kipi kitumike kmfungia mtu hasifanye siasa?
Wewe huoni hapo Kuna tatizo?Lipumba ambaye hatambuliwi na maalim karudishwa ofisini kwa nguvu ya msajili,msajili huyohuyo ndiye anayewaita ofisini kwake unafikiri ni kitu gani kitafanyika zaidi ya msajili kumshawishi maalim akubaliane na Lipumba kuwa ndiye Mwenyekiti halali wa CUF?.We mbwiga nn kweni msajiri ndo cuf? So nali....wa
Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.
Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.
My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
Sio rahisi kiasi hicho lipumba hafai hata kwa nusu na wala sefu c mjinga kiasi hicho mkuuWewe huoni hapo Kuna tatizo?Lipumba ambaye hatambuliwi na maalim karudishwa ofisini kwa nguvu ya msajili,msajili huyohuyo ndiye anayewaita ofisini kwake unafikiri ni kitu gani kitafanyika zaidi ya msajili kumshawishi maalim akubaliane na Lipumba kuwa ndiye Mwenyekiti halali wa CUF?.
Sio professor ni associate professorJamani hii nchi siina Maprofesa wengi mbona hawamkosoi Profesa mwenzao kwa anayoyafanya? Ama kzi yao nikukosoa Serekali tu?
Hivi propesa wakati anaandika barua ya kujiuzulu akili zilikuwa zimemruka? Kwamba barua yake ilijadiriwa au la si hoja kwa mtu aliyeamua kujiuzulu akiwa na akili yake timamu bila kulazimishwa tena wenye elimu ya kiwango cha PhD,anahitaji kukutanishwa na ziraeli maana si bure huyu mtuBarua yake ilijadiliwa kwenye mkutano mkuu kaba katiba inavyotaka?yaani nyie mmeshiba fedha za fisadi sasa mnahaha kutekeleza matakwa yake.Aibu sana
Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.
Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.
My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.