Msajili awaita Lipumba na Seif

Si inasemekana kuwa kuna CUF Zanzibar na CUF BARA na kwa vile Ofisi ya msajili ina ofisi ndogo Zanzibar basi Maalim aripoti Zanzibar kwa vile anatambuliwa ni kiongozi halali na Lipumba aripoti ofisi ya msajili bara kwa vile anatambuliwa huko.
 
Jabali Maalim Seif hatakiwi kuripoti popote , Mutungi ndiye adui wa kwanza wa Maalim , anamwita ili amdhuru ?
 
Kweli wewe jinga lao, hivi hili jina ulibuniwa nani?
 
Si inasemekana kuwa kuna CUF Zanzibar na CUF BARA na kwa vile Ofisi ya msajili ina ofisi ndogo Zanzibar basi Maalim aripoti Zanzibar kwa vile anatambuliwa ni kiongozi halali na Lipumba aripoti ofisi ya msajili bara kwa vile anatambuliwa huko.
Kinachomleta maalim Buguruni kuja kusafisha ofisi ni kipi ilhali Zenji kuna ofisi ndogo za CUF?

Wito wa msajili kwa ajili ya mazungumzo ya suluhu ni muhimu sana...baada ya hapo mtu asianze kulilia vyombo vya habari au vya kimataifa
 
Sefu hawezi kuja anajua ataambiwa aende ofisini
Kuhudhuria kwa Sefu ni kumtambua Lipumba
 
Mimi sioni haja ya kuwaita kujadili vurugu zilizotokea kwani waharifu wanajulikana, msajili wa vyama asitutie watu ujinga hiyo yote ni mbinu ya kuweza kuwakutanisha ili Sef amtambue Lipumba. Yeye ndiyo chanzo cha yote haya Lipumba alishajiuzulu anawang'ang'aniza CUF wamtabue Lipumba km mwenyekiti
 
Ahsante unaona mbali huu ni mtego kwa Seif
 
Duh, msajiri anafanya kazi ya polisi?! Ama kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni. Huyu sajiri ni jaji eti....
 
Huyo msajiri ndo anachochea migogoro hiyo kwa kumbeba Lipumba. Kila mtu anajua Lipumba aliondoka CUF mwenyewe.
 
Huyo msajili anamtambua Seif kama nani Cuf wakati alishafukuzwa? Mutungi anajua ukweli lakini amewekewa kisu kooni anashindwa kutumia taaluma yake vizuri kwa kulazimishwa na.........
 
Aliyetenda Jinai unamjua??
Wewe ni mbweha wa Lumumba uliyetumwa hapa JF kulinda maslahi mfu ya ccm. Kukuletea ushahidi wa video na mengineyo hapa ni kupoteza muda tu maana umetumwa kutetea ccm na mslahi yake regardless.
 
Ugumu wa hapa ni namna ya kusajili chama,kwa msajili huyu hawezi kusajili chama kipya,vilevile watakua wamemuachia Mali nyingi sana huyu Bwana yule Bora kumwaga mboga chama kifutwe wanagawana Mali wataangalia chama kidogo mlengwa wa ukawa wanajiunga nacho mwendo mdundo
 
Hivi huyo msajili lini atafikishwa mahakamani na kuhukumiwa kunyongwa anatengeneza machafuko yanayo weza kusababisha mauaji

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Ningekuwa malim sefu nisingeenda.
 
Ruzuku arudishe kwanza aliyokwiba ndo mengine yafuate. Jambazi lenye suti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…