Msaidizi wa meneja wa Vodacom Iringa acha majivuno

Msaidizi wa meneja wa Vodacom Iringa acha majivuno

Ukiona Panya wanachezacheza sana Sebuleni jua wameshajua udhaifu wa Paka aliyepo hapo. Kwa lugha iliyo nyepesi na nyoofu ni kwamba ukiwa katika Kampuni au Taasisi yoyote ile halafu ukamwona Mwanamke fulani ana tabia kama za huyu uliyemtaja hapa amini ya kwamba kwa 99.999% anatoka Kimapenzi na ama Bosi Mkuu au Bosi wa Kituo chake cha Kazi alipo. Ukiijua Saikolojia ya Wanawake wala hupati nao taabu Mkuu. Kuna Bosi anampa hizo jeuri na hicho kiburi chote.
Mkuu umeona mbali maana hata huyo bosi wake huenda ana lake jambo.yaani tunapata taabu sana jamani.yaani kuna wakati mtu unaokopa sheria tu,ila unatamani umuwashe hata kibao.mi nimeona niyaandike haya ili niwakombowe na wale wengine wenye masikitiko kama yangu.KWA NGUVU YA JAMII FORUM NNAIMANI UJUMBE ATAUPATA.Naahidi kuleta mrejeo.
 
Tutamfanyizia anae mpa kiburi. Yaa we will treat her from the source
 
Namjua. Mbona si mdada tena ila mmama. Naona amekula chumvi ya kutosha ukiongeza na matumizi mabaya ya mwili atakua mbibi punde si punde
 
Kwa kweli huyu dada msaidizi wa meneja wa voda Iringa (Galus) tunaomba ubadilike.najua Ujumbe utakufikia tu maana unadharau sana.unaweza ukamjibu MTU chochote unachojisikia jua hii ni dunia.
Mkuu kwa Iringa sio huyo tu. Sehemu nyingi utakapokwenda iwe ni ofisi za serikali benki au hata zile za binafsi huduma kwa mteja ni vituko. Sijui wameathiriwa na ule umwinyi wa kihehe au kitu gani.Na ukienda kwenye maduka yao ndio utawaelewa zaidi kina Mgaya Shida.
 
Asikutishe huyo,wengi wanajifanya wapo voda Kampuni mama,lakini wengi ni waajiriwa wa subcontract companies,zilizopewa kazi na voda,unaweza kuwakuta hapo vodashop,ukafikiri wote ni wafanyakazi wa VTL,kumbe sio,Voda ilikuwa zamani sio siku hizi,
niliwahi kufanya kazi voda pale makao makuu..salary ilikua 600k..so ni pa kawaida sana
 
Hili lingetosha kumpa kwa pekee kuliko kuitumia njia hii uliyoitumia
 
Wanawake baadhi yao wakiwa na vpato wanakuwa na jeuri sana , yaani anajiona kafika

Unakuta mtu amekaa kwenye ofisi nyodo kibao, pato lake unakuta halizidi 8000,000/= kwa mwaka.
 
Wanawake wa aina hiyo unakuta tu, anajiona mzuri sura mbovu kisa tu labda ana TAKO na ki mshahara cha mil 1, basi anaona kila mtu Nyau, wapuuzi sana, halafu hakujui wewe ni nani!
 
Mwache tu aringe mana hujui kapitia maswaibu gani mpaka kufikia hapo alipo
 
kuna mama mmoja wa kiarabu pale vodashop iringa alikuwa anahusika kurekebisha simu internet mwaka 2010 dah alikuwa anadharau enzi ukienda na simu za kichina kama G-tide alikuwa anakataa kukusaidia anasema itamlipukia
 
Mkuu kwa Iringa sio huyo tu. Sehemu nyingi utakapokwenda iwe ni ofisi za serikali benki au hata zile za binafsi huduma kwa mteja ni vituko. Sijui wameathiriwa na ule umwinyi wa kihehe au kitu gani.Na ukienda kwenye maduka yao ndio utawaelewa zaidi kina Mgaya Shida.
Mkuu, upo sahihi customer care kwa baadhi ya taasisi za uma iringa ni mbovu mno. Mi mwenyewe nilikuwa disappointed sana na huduma za benki ya NMB pale Mafinga, yaani nilijuta, wale wahudumu ni wa hovyo sijapatapo kuona kwa kweli. Maringo, kiburi, dharau, rushwa ( mteja wa biashara ya mbao hapangi foleni kabisa) kwa mtu aliye wahi tumia ile benki ata sadiki haya afadhali nowa days wapo Crdb, ilibidi niwahame maana ningepata kesi ya kutukana mtu.
 
kuna mama mmoja wa kiarabu pale vodashop iringa alikuwa anahusika kurekebisha simu internet mwaka 2010 dah alikuwa anadharau enzi ukienda na simu za kichina kama G-tide alikuwa anakataa kukusaidia anasema itamlipukia
Hahahha
 
Back
Top Bottom