Msaidieni rafiki yangu

Drama queen

Senior Member
Apr 22, 2014
157
288
Nimekua msomaji sana humu ila hili imebd tu niombe ushauri...sio mzuri sana kujieleza kwa maandishi but hop mtanielewa
I have ths long time dude tangu Primary tukaja soma wote chuo..hatujawahi kuwa wapenzi KABISA ni kaka rafiki we share our bad n good times
Wale ambao mlishakua na rafiki very close wa jinsia tofauti mtanielewa.
I got married....yy akazaa na mdada flani muslim mtoto 1 sasa wanapitia a lot na huyo mkewe hawajafunga ndoa tho wameishi km 3yrs
Analalamika mwanamke ana kiburi jeuri hamfulii hampikii..hana muda na mtoto kila kitu anafanya dada
Mwanamke hafanyi kazi so evrtn anatoa yy hadi kuhudumia ndugu wa mkewe ambao baadhi anaishi nao (rafiki yangu hana shida na hili)..
Alishamfumania mkewe na hii ni baada ya mkewe kugundua mwaanaume ana michepuko wakaombana msamaha yakaisha
Tho th guy bado anachepuka..
Th guy anakunywa pombe but sio mtu wa kurudi hom night kali yy saa 4 usiku yupo hom..
Th guy anatoa hela ya matunzo kwa wife na mwanae bila shida ila tatizo ana mkono mwepesi wife akizingua kipigo..
Th guy wants to marry huyu mama mtoto shida mama hataki kubadili dini kuwa mkristo anataka mwanaume ndo abadil..mind u huyu kaka alikuaga muslim akabadili dini..mwanaume anamwambia siwezi kurudi uislam as nimetoka huko na mtoto tusham batiza.
Mwanaume anataka kumumuacha huyu dada but kinamuumiza mtoto wake kuja kulelewa na mwanaume mwingine..mapenzi yamepungua but anafikiria tu kumuoa for th sake of his child
Oopsss a hop nimejitahd kujieleza mshaurini mm nimeshindwa
 
Asioe sababu ya mtoto..Ndo ni ishu nyingine kabisa. Kama kwa sasa mambo yapo hivyo wakiwa kwenye ndoa huyo mke atakua ni shida mana saivi tu ni jeuri hatari. Kuwa na mtoto ni kitu kimoja na ndoa ni kitu kingine. Namshauri kwa kusisita ASIOE SABABU YA MTOTO MANA NDOA NI BARAKA KUTOKA KWA MUNGU. Mambo ya kulea mtoto wanaweza kujipanga.
 
Mkuu am just trying to imagine the kind of home they're living..
Jamaa ana mchepuko,demu anamchepuko,jamaa akimfumania demu ni kipigo tuu!
Mwambie jamaa asioe kwanza ajifunze kuishi na mwanamke
 
Hahahaha dunia ina mambo hii. Yan hafanyi kazi kula kulala tu nyumbani then hakufulii wala hakupikii na bado unataka kuoa mkuu.
Jiongeze Mkuu kama Mbunye zipo tu.
 
Th guy atafute future ya mwanae asisizingatie sana makwazo ya mchumbae maana hata yeye anayo.
Th guy ajaadiliane na mwenzake juu ya aina mpya ya mahuziano wanayopaswa kuishi ili wapeane uhuru wa kuchepuka lakini waendelee kulea.
 
ah wewe bwana huyo mpe makavu live, anavuna alichopanda. kwanza kwa nini azae na mwanamke ambae hajamoa? haya ni self created problems. he not a man but a boy. na huyu mama mtoto wake kashaliona hilo ndio maana anaburuza.
 
Najaribu kuimagine life jamaa anoyoishi..kwanza hakuna ndoa hapo ila ni maigizo..haiwezekani jamaa akachepuka na mwanamke nae anachepuka tena waziwazi halafu useme hiyo itakua ndoa..
Wote hao ni wahuni tu na walioana accidentaly...
Jamaa mwambie atulize akili kwañza asioe.tena na apate muda wakutosha.
 
Back
Top Bottom