King snr
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 1,165
- 1,474
Habari zenu JF
Nina rafiki yangu katoka mkoani kaja Dar kutafuta maisha yani anapata tabu sana sababu hana kazi na ukiangalia hata sehemu ya kulala ni ya kuunga-unga, naombeni anayeweza kumsaidia amsaidie kazi yoyote yeye amesema atafanya. Ana elimu ya form 4, ana umri wa miaka 19-21, Ni mvulana, mwenye nafasi yoyote ile ya kazi hata nyumbani kwake please!
Msaidieni maisha magumu