Msaidieni mawazo huyu.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaidieni mawazo huyu....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by vkeisy2006, Jan 26, 2011.

 1. vkeisy2006

  vkeisy2006 JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 230
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Yamenikuta mwenzenu.....nina mchumba taratibu zote tayari bado kuanza vikao tufunge pingu za maisha august.. hapa nilipo nina ujauzito wa miezi nane yani na expect march mwanzoni nijifungue ndo mana tumeshindwa hata kuanza vikao vya harusi ndugu wa pande zote mbili wanasubiria...Mpenzi wangu huyu amebadilika toka nilivyopta ujauzito kwanza Swala zima la kuongeza njia halipo ni since na miezi 2 mpk leo 2mefanya almost mara3 tena kwa shida sana...yani hajiskii kbs namuona na mm coz of pregnancy....sijali sana Lakini jamani nkienda kwake CMU yake siioni hadi siku naondoka anaificha akienda kuoga anenda nayo...amekuwa mkali,haeleweki..Jana sasa tunatoka job ananirudisha home usiku kama saa 2 hvi..kufika sehemu karibu na kwetu tu akashuka anunue i thnk crdt..si ndo akasahau simu kwenye gari...ikaingia msg and mm kuwa desparate hii cm y huwa anaificha ndo nkachukua nkasoma MAMA YANGU...msg imeandikwa samahani mpenzi najua nimekusumbua hadi huku then sijatoka home wameshafunga geti and mind u kuna mda aliniach sehemu akasema anamcheki friend yak mara1 a ndo mda huo alipokea cm nahisi alienda kwa huyo msichana....NKACHUKUA CM NKASHUKA NAYO NKAONDOKA NKAENDA HOME SIJUI NFANYE NIN...bdy nkaipiga ile namba ya yule msichana akaasem yeye hamjui mchumba wangu a hana mahusiano yyt na mtu mwenye jina hiloo...bila kujua kwamba cm ya hy mwanaume ninayo mara inaingia msg kweny cm ya mchumba wnagu...sorry swity unaijua hii namba...yani yule dem katuma namba yangu anaulizia kwa kifupi ndo hivy na msichana ni ana matusi anatukaa usiku kucha sijalala yani kila nkihema msg ya matusi ya nguon...mwanaume hajasema ksitu ndo kwanza kaondoka zake yn Hjali nimeamua nisitishe mpango wa kila kitu am i right...kufanay hiv n what should i do to forget that i hv thsi prolem nau coz i cant say how i feel a so comfused yani sijui sijui sijui kila kitu naona kizito hap duniani...
   
 2. semango

  semango JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  haya matatizo huwakumba couples wengi sana.ktk kipindi cha ujauzito na kipindi cha kulea ndio huwa mwanya mkubwa kwa wanaume kutafuta kazi za nje.lakini sababu kubwa huwa ni kukosa sexual satisfaction kutoka kwa partners wao.cha msingi, kabla ya kuamua chochote, fanya jitihada za kukutana na huyo mheshimiwa mkiwa wawili tu then jaribu kumdadisi.kama atakiri kosa then sio mbaya kusahau yaliopita coz we all make mistakes
   
 3. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  shukuru umeona mapema kabla hujaingia humo ndani nakushauri tumia busara na hekima uliyonayo kutatua matatizo yako ili uweze kulea mimba yako vizuri .usijidanganye utambadili mtu yoyote baada ya kuoana utakuwa unajikaanga mwenyewe hapo ni uamuzi wako kuamua kusuka ama kunyoa:A S-fire1:
   
 4. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Pole saaaaana,
  Kwanza yakupasa ujitambue kuwa wewe kwa kipindi hiki ulichonacho ni MZAZI, jambo kama hili ukilitilia maanani saana ni kwamba litakuathiri wewe binafsi na kiumbe ulichokibeba. Naomba ujijenge kifikra kuwa kwa sasa hauna mtu, sisi wanaume huwa tuna matatizo sana kwa wandani wetu hususan ktk kipindi cha ujauzito ambapo huwa tuna-betray kupindukia.
  Ningekuomba saana fanya marejeo mema ya dini kwa imani yako, REJEA VITABU VITAKATIFU na uwe ni kiumbe unaeelemea zaidi ktk dini mpaka ujifunguapo.
  Haitopendeza saaana ukiwahadithia nduguzo kwa uovu aliokutendea huyo mtarajiwa wako kwani hao watakupa ushauri usioendana na hali yako ya sasa na zaidi ku-result katika pre-mature stage.
  Pole saaana na usisahau kwenda kujipima hali yako kiujumla kama vile ultra-sound na BP coz naimani hautokuwa sawa kiujumla.
  PIGA MOYO KONDE na pole saaana ama kwa hakika.
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  sahau mengine yote ujitahidi kutuliza mind yako ujifungue salama...kipindi hiki utajifunza mengi yatakoyokupa final decision
   
 6. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Duh pole sana yani nakuona ulivyochanganyikiwa mpaka kwenye muandiko wako mpz.
  1.Hukuwa na haraka ya kubeba mimba as long as anakupenda ulibidi usubiri
  2.si vyema kuchukua maamuzi mabya now maana uko kwenye stage za mwisho sasa kuwa mama[panga maamuzi sahihi}
  3.usiwe na papala hata kama unamuhisi mwenzio ubaya hukuwa na sababu ya kumpigia mwanamke wmingine cm,yanini?dili n mumeo mtarajiwa yeye kafatwa kama ww.
  4.ongea na mumeo mtarajiwa kwa upole na ukarim maana kwa hali yako si vizuri kuwa mkali na hasira.
  5.Mshirikishe Mungu katika hilo{kama hukumshirikisha mwanzo ni kosa}
  6.Ikizidi sanaaaaa omba ushauri kwa watu wa karibu.
  All the best mpz,kula vizuri,usisahau mboga mboga na maji kwa wingi Mungu akulinde na kukutunza na ujifungue salama.
   
 7. RR

  RR JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  E bana dah....
   
 8. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Usije kufa bure na mtarajiwa wa tumboni! Its a time to be a strong lady, steady arm! Feel sorry for u. Sisi wanaume bana, sometimes tuangaliage hata na hali za wapendwa zetu!
   
 9. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  eh pole sana,
  nimekosa hata la kuongeza nimeona huruma sana.
  hili janga la kifamilia.
   
 10. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,675
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Namshauri akomae tu mwenzangu mambo ya single parent ni magumu sana kwasababu wanaume hawatofautiani sana ila kiwango cha utaalamu wa kuficha siri ndio kinatofautiana so hata akisema aachane na huyo ambaye amebeba mtoto wake... takuwaje kwa huyo mwingine anayejua kwamaba anamtoto wa mt. Ila asiache kumwambia kwamba amelijua hilo
   
 11. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nakuhakikishiakuwa hakuna wanandoa ambao wanaweza kubadilishana simu kwa siku moja bila kila mtu kujua mwenzake anamsaliti,kwa kifupi ni kuwa dunia imebadilika na hata dhana nzima ya mahusiano imebadilika,mchumba wako ni mmoja kati ya wanaume wengi ambao wapo kwenye mahusiano na wanawake wengine zaidi ya wachumba/wapenzi wao.
  Kwa kuwa ni jambo ambalo hukulitegemea ingawa inawezekana ulikuwa unalifahamu au kulihisi,basi huna budi kutulia na kuweka akili yako sawa ingawa natambua kuwa una uchungu wa hali ya juu,jipe muda mpaka unajifungua na katika kipindi hicho jaribu kumuomba Mungu akupe nguvu ya kuweza kuhimili uchungu ulionao na ukijifungua salama basi utakuwa katika wakati mzuri wa kuamua.
  Kumbuka wewe ndio muamuzi wa mapenzi yenu na suala hili linategemea ni kiasi gani unampenda mchumba wako,wamjua vizuri hivyo jiulize ni kwanini ameingia katika mahusiano na mwanamke mwingine?
  Pole sana.
   
 12. Blue_Face

  Blue_Face Member

  #12
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  usiwe na frustration zitakuharibia baby wako - keep cool kama hujuwagi kitu (not easy), jitahidi.
  ukishapowa, mweke umfahamishe kama mumefika mbali mpaka kakutia mimba na sasa ni time
  ya kuowana - hiyo anayofanya sivyo na mtishe kama italeta big conflict kwenye jamii.:A S-fire1:
   
 13. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Poor sweetheart,at this point of yo pregnancy you dont deserve this. Mungu akusaidie akupe nguvu na busara ktk haya mapito.
   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Nimepata tabu kidogo kuelewa kiswaili kilichoandikwa hapo ,
  Nitarudi baada kwa ushauri
   
 15. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  kwa sababu una miezi nane na bado mmoja, wala usipaniki we subiri ujifungue salama na solution ya maana itapatikana tu
   
 16. LuCKNOVICH

  LuCKNOVICH Senior Member

  #16
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Pole sana,jitahidi kuvumilia kwani ww ni mama mtarajiwa.muheshimu mwenzako,tumia busara sio kiburi na muombe Mungu ajupe maamuzi mema
   
 17. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #17
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Una dawa moja tu ambayo itakuondolea mawazo yote; MUDA. Najua kwa sasa ni machache sana unaweza ukaambiwa yakakutoa katika mateso ya moyo uliyo nayo. Sasa, jipe muda. Kubali uendelee kuumia kwa wiki chache zijazo, then utapona na akili yako itaweza kutulia na kuamua barabara.

  Kamwe, usijaribu kuamua chochote kwa sasa, likely hakitakuwa sahihi. Kaa tu kama mjinga, ukijisemea kuwa utajua ufanyeje huko baadae.


  Narudia tena, usijaribu kuamua kuchukua hatua yoyote kwa sasa, jipe wiki chahce, akili itulie. Ndani ya wiki hizo utapata pia mda wa kutathmini kama huyo jamaa anakupenda au la.


  Pole sana...
   
 18. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Teh teh! ww mgeni nini? kama vip zoea 2 pande hizi zando ndo kawa4da yake. afu hilo tela 2. bado picha. unatafuta sababu za kubreak up utazipata. rakini vumiilia!
   
 19. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,927
  Trophy Points: 280
  actually, hiyo ndo raha ya kumegwa kabla ya ndoa, na kupachikwa mimba....ukikoroga itabidi ulile...endelea tu na maisha yako kwani kama wewe ulikuwa mwepesi kumvulia chupi hadi mimba harakaharaka, basi unaweza kumvulia na mwingine wakati wowote....sitaki kuongea maneno mengi nisijekukuumiza....ila nakuombea kwa Mungu ustahimili circumstances kama hizo kwa wakati huu. Pole.
   
Loading...