open university ni nzuri sana , cha msingi aende mkoani kwake kama ni ilala wapo pale elimu kwa njia ya posta , temeke sjiui walipo , kinondoni ni opp na ubungo plaza jirani na engen filling station watamshauri afanye nini
atasoma vizuri na atamaliza bila shaka , material na hata walimu wa kumfundisha wanapatikana kwa wingi