Msahada wa PC yangu processor inaleta Joto Sana

Msahada wa PC yangu processor inaleta Joto Sana

dazefx

Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
7
Reaction score
2
Poleni na Majukumu jamani.
PC yangu leo asubh niliizima kuja kuiwasha Fan inazunguka ila Kioo aki Display chochote wala kuleta Logo ya Dell ila Fan inazunguka. Ila nimeifungua kugusa processor ni inajoto sana tena sana. Msahada wenu jamani
JPEG_20201106_231501_2359145553236918175.jpg
JPEG_20201106_231533_6306049515671577209.jpg
 
1. Inawezekana thermal paste imekauka na ku expire, ulivyogusa hio cpu kulikuwa na uji uji juu?

2. Labda cooling solution haigusani na cpu

3.inawezekana pia cpu ipo ok, ni kawaida cpu kufika 80 ama 90C
 
1. Inawezekana thermal paste imekauka na ku expire, ulivyogusa hio cpu kulikuwa na uji uji juu?

2. Labda cooling solution haigusani na cpu

3.inawezekana pia cpu ipo ok, ni kawaida cpu kufika 80 ama 90C
Hivi thermal paste zinapatikana hapa bongo
 
Samahani kiongozi. Hivi tatizo la laptop kupiga kelele sana linasababishwa na nini? na ipi njia ya kutatua tatizo.
NB: Feni haina vumbi
1. Inawezekana thermal paste imekauka na ku expire, ulivyogusa hio cpu kulikuwa na uji uji juu?

2. Labda cooling solution haigusani na cpu

3.inawezekana pia cpu ipo ok, ni kawaida cpu kufika 80 ama 90
 
Samahani kiongozi. Hivi tatizo la laptop kupiga kelele sana linasababishwa na nini? na ipi njia ya kutatua tatizo.
NB: Feni haina vumbi
Mkuu anza na task manager kwanza, right click taskbar pale chini kisha chagua task manager kipindi laptop inapiga kelele, cpu haija jaa 100%?
 
Unaangalia inaweza kuwa mdudu ameingia, ama vumbi ama tatizo jengine, fungua tu uangalie unaweza pata idea.
Poa mkuu. Acha kesho nitaifungua, maana sina tools za kufungulia. So mpaka nikanunue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom