B Baija Bolobi JF-Expert Member Feb 25, 2009 1,093 1,726 Aug 30, 2010 #3 Yebo! Afadhali yule mama wa tembo jike alikuwa amesogea mbele zaidi maana kama tembo dume angekosea kidogo tu, ingekuwa pata shika nguo kuchanika.
Yebo! Afadhali yule mama wa tembo jike alikuwa amesogea mbele zaidi maana kama tembo dume angekosea kidogo tu, ingekuwa pata shika nguo kuchanika.
Ambassador JF-Expert Member Jun 2, 2008 933 75 Aug 30, 2010 #4 Siku nyingine itabidi dume ndo litangulie mbele!
senator JF-Expert Member Aug 9, 2007 1,924 66 Aug 30, 2010 #5 Tembo nao ni kama kumbikumbi tu Bibi mbele bwana nyuma!