Msafiri kafiri

Msafiri kafiri

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
Close
BmU70HPIEAAswJj.jpg:large
 
Afrika shida tupu japo tunajifariji kwa vimaneno vyetu "mombasa raha , au Uvinza raha"
 
Hii ni hatari sana,
Hao watakuwa ni mtu na mke mwenza wanataka
Usawa kati yao!!
 
'Yeleeuuuuwi,hii thio mshkaki babangu hii ni NDAFU kabisa aisee,duh'
 
Kwahiyo kilo zisipowiana hakuna safari?
Je ikipigwa break inakuwaje?
Wanateremkaje?
 
Mkuu ingekuwa ni wazungu tungee sema watalii na kuwasifia sana lakini kwa kuwa wa kibongo bongo basi ni kuwachamba chamba tuu na yote ni donge lakini kizuri hakikosi doa
 
Back
Top Bottom