haikufichwa hii habari blog ya godwin francis aliweka picha
Mbona hapa jukwaani kuna mdau kadai msafara wa JK ndio chanzo, maana dereva wa Abood alikua anajaribu kupunguza mwendo na kuukwepa ndio basi likamshinda
Vyote viwili. Mwendo kasi na msafara wa rais vimesababisha. Lori lililokuwa mbele ya Abood lilipiga breki ya ghafla kwa hofu ya ving'ora vya msafara. Abood likiwa kwenye mwendo kasi ili kukwepa kuuvaa msafara au kuligonga lori kwa nyuma likaona isiwe tabu, likaingia mtaroni. I thank thee O Lord, my darling wife is safe. Haya mambo yasikie kwa wengine. Dah!
Pole sana Babu Asprin! Mpe pole na Shosti!Vyote viwili. Mwendo kasi na msafara wa rais vimesababisha. Lori lililokuwa mbele ya Abood lilipiga breki ya ghafla kwa hofu ya ving'ora vya msafara. Abood likiwa kwenye mwendo kasi ili kukwepa kuuvaa msafara au kuligonga lori kwa nyuma likaona isiwe tabu, likaingia mtaroni. I thank thee O Lord, my darling wife is safe. Haya mambo yasikie kwa wengine. Dah!