Msafara wa Rais vs Gari la wagonjwa / Zimamoto

Msafara wa Rais vs Gari la wagonjwa / Zimamoto

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,433
Samahani nina swali, wote tunajua kuwa msafara wa rais una vitu kama pomp and pajents ambazo uambatana na protokali kama mapikipiki yenye ving'ora na dilplomatic etiquettes zote na hapo sisi raia wa kawaida ushurutishwa kusimama kusubiri na kupisha msafara wa jabali upite.

Swali je, kama kuna ambulance ina majeruhi au mama anayetaka huduma ya haraka kujifungua kwa upasuaji hasife inaruhusiwa kukatiza au hapana?

Maana inaweza kuhatarisha usalama wa jabali ? Sina utaalam katika hili jamani police force kitengo cha traffic na wale wazee wa black suits(tiss ).Msaada please.
 
Msafara wa raisi kwa bongo hata kama mjazito utafia kwenye foleni mana usalama wa raisi ni muhimu kuliko mgonjwa au mama mjazito over...! Tena watakupiga vilungo
 
Msafara wa raisi kwa bongo hata kama mjazito utafia kwenye foleni mana usalama wa raisi ni muhimu kuliko mgonjwa au mama mjazito over...! Tena watakupiga vilungo

Mbona watz hawananoma kabisa hats raisi akitembea kwa baiskeli katu hawezi kurushiwa hata jiwe.
 
Mjamzito?Mgonjwa?
Aisee hata hawo watu wakisafishiwa njia zaidi ya rais bado maisha yao yapo hatarini tu...kwa nchi kama yakwetu
Maana ukiwawaisha hospitali ukiwafikisha kwa wakati bado watakufa tu maana utaambiwa brother mgonjwa wako anatatizo flani lakini dawa hamna
So mimi naona watucheleweshe kwenye foleni lakini tukifika sehemu husika tupate dawa!!!
 
Samahani nina swali......sote tunajua kuwa
msafara wa rais una vitu kama pomp and
pajents ambazo uambatana na protokali
kama mapikipiki yenye ving'ora na
dilplomatic etiquettes zote na apo sisi
raia wa kawaida ushurutishwa kusimama
kusubiri na kupisha msafara wa jabali
upite swali je kama kuna ambulance...ina
majeruhi au mama anayetaka uduma ya
haraka kujifungua kwa upasuaji hasife
inaruhusiwa kukatiza au hapana ??maana
inaweza kuhatarisha usalama wa jabali ??
Sina utaalamu ktk hili jamani police force
kitengo cha traffic na wale wazee wa
black suits(tiss ).....msaada please

Kawaida lazima asimame
 
Buji buji kumbe hata wewe huwa unaumwa kichwa na hii makitu halafu kaulize bajeti yake mimi ndio maana namfagilia sana kagame pamoja na mapungufu aliyo nayo jamaa yupo kikazi zaidi.
 
Jibu ni rahisi sana kuwa Rais ndiyo roho aghali kuliko zote hapa tz hivyo inalindwa kwa gharama yeyote ile.Kumbuka si jambo rahisi kuamini kuwa aliyobebwa kwenye gari la wagonjwa kuwa ni mgonjwa lakini Rais ni uhakika kuwa yumo ndani ya gari hivyo itakuwa jambo hatari kurusu gari ya wagonjwa au zimamoto ambayo kupata ushaidi wake kwa haraka ni vigumu hivyo basi kiusalama lazima Rais apite kwanza ndiyo mambo mengine yafuate kinyume cha hapo Maisha ya Rais yatakuwa hatari maana maadui watatumia huo mwanya wa gari la wagonjwa au fire kutekeleza mauaji au mapinduzi. Hivyo Rais kwanza wengine pangeni foleni
 
Nchi hii priority siyo majority ni minority, bora gari la zimamoto likose maji lakini siyo washawasha aka kikojozi, bora maelfu wafe mwananyamala sinza palestina temeke na amana ili mkubwa aende kupima malaria overseas
 
Msafara wa raisi kwa bongo hata kama mjazito utafia kwenye foleni mana usalama wa raisi ni muhimu kuliko mgonjwa au mama mjazito over...! Tena watakupiga vilungo

Jese Pinkman tukubaliane kuwa kila kifungu cha kwenye katiba kuwa wananchi wote ni sawa sio kweli .
 
Last edited by a moderator:
Jibu ni rahisi sana kuwa Rais ndiyo roho aghali kuliko zote hapa tz hivyo inalindwa kwa gharama yeyote ile.Kumbuka si jambo rahisi kuamini kuwa aliyobebwa kwenye gari la wagonjwa kuwa ni mgonjwa lakini Rais ni uhakika kuwa yumo ndani ya gari hivyo itakuwa jambo hatari kurusu gari ya wagonjwa au zimamoto ambayo kupata ushaidi wake kwa haraka ni vigumu hivyo basi kiusalama lazima Rais apite kwanza ndiyo mambo mengine yafuate kinyume cha hapo Maisha ya Rais yatakuwa hatari maana maadui watatumia huo mwanya wa gari la wagonjwa au fire kutekeleza mauaji au mapinduzi. Hivyo Rais kwanza wengine pangeni foleni

KOLOKOLONI kwa hiyo ile gari yake haina maana ,ukiipiga risasi inapitiliza hadi ndani?
 
Last edited by a moderator:
KUMBE NDIO MAANA ALITOA AMBULANCE ZA BODABODA ILI ATUSUMBUE NJIANI NA VING'ORA VYAKE.
IMG_2626.JPG
 
Back
Top Bottom