Wanajamvi kwa kuwa jf ni sehemu ya kubadilishana ujuzi/elimu naomba kuhabarishwa umuhimu wa gari za msafara wa raisi na viongozi wengine kwenda kasi hasa maeneo yenye miji mikubwa kam dsm. Nauliza hivyo kwa sababu kila siku wadau wa usimamiziwa usalama barabarani wamekuwa wakisisitiza umuhimu wa kwenda mwendo wa taratibu ili kupunguza uwezekano wa kutokea ajali. nina imani kama msafara wa raisi usingekuwa na spidi yule trafic asingegongwa au hata akigongwa labda asingepoteza maisha

lazima uwe na magari zaidi ya 20?
kwa nini wampopoe? kuna kitu aliwaahidi hajawatimiza? nafikiri anaenda speed kukwepa target kumbe mawe!!Unataka msafara uende taratibu ili mmpopoe kwa mawe???
Kule mbea walishampopoa na mimawe...kwa nini wampopoe? kuna kitu aliwaahidi hajawatimiza? nafikiri anaenda speed kukwepa target kumbe mawe!!
Kiusalama zaidi hii ni moja ya mbinu za kujikinga na wadunguaji ma snipers inakuwa ni kazi sana kwa sniper kuiweka target ya object inayo move km 80/h... kuliko kuwa chini ya hapo...
Je zile BMW za kikwete si bullet proof...?Kiusalama zaidi hii ni moja ya mbinu za kujikinga na wadunguaji ma snipers inakuwa ni kazi sana kwa sniper kuiweka target ya object inayo move km 80/h... kuliko kuwa chini ya hapo...