Kwahiyo unataka mchungi agombee tena?Russia ni katiba yao German waziri mkuu hana kikomo sasa kwetu kipo wametudanganya nini what about America na Japan nao wamedanganywa?
HAisAIDI kitu AKITOKA HUYO ATAINGIA MWINGINE NGOMA HIVO HIVO.hata kama wa chama kingine. usalama wake ni muhimu awe diktete au asiwe. Akipatwa na janga vuruguu angalia YEMEN imekuwaje