Msafara wa Putin Chechnya Kufuru

Huhu Ulaya...!!!!
 
Mwee wenzao fyuma fhibene wao wameyasambaza magari barabaran km siafu walio mwagiwa jivu la moto.
 
Daah hacha wakina mseveni, kagame waendelee mapaka watakapo choka... maana katiba zina ruhusu, ni ikigoma waibadili waondoe kipengele cha umri ili ktk iseme vizuri... kwa kuwa nchi zingine nazo ktk zao zina ruhusu...

ikiwezekana wajimirikishe na vinchi vyenyewe kwa kubadili mambo ya katiba pendwa wawe kama mswati tu...
 
Katiba makaratasi tu yanaweza badilishwa wakati wowote hivyo wakiona kuna aja hiyo hacha wabadili... watawale hata bila ya uchaguzi maana kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake... hacha waongeze urefu wa kamba zao
 
Nimeesabu mpaka nikaweka pozi kwanza aisee..... Utasema hawatakufa, dunia hii...
 
Je katiba zao si zinaruhusu?
 
Dah huo msafara Madikteta bana Yani hayajiamini popote pale Iwe kwenye sanduku la kura, Uhuru wa habari Na hata misafara.
Vladimir Putin he not a dictator as many people may say it to be. He has led Russia into a new era of political, economical and social stability. Russia now is not the state that the USA knew after the cold war its super fast, intelligent and economically secured. Its not like the stupid administrations of the so called dictators of Africa. U can't compare the changes Russia has gone through under Putin. Even America now feels insecure with Russia's achievements.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…