Msafara wa Makonda wapata ajali

Ngoja tuone kama signal ya wana wa Kusini haijasomeka na sisi wa Kanda ya Ziwa tunajipanga halafu tunapiga kolabo na hawa wana wa Kusini hadi kieleweke
 
Sawa kabisa umesema Vyema, eti Katibu Tawala Mkoa yumo kwenye msafara WA kiongozi WA chama
 
Ajali inamhusu Katibu mwenezi wa cha cha siasa! Halafu cha kusikitisha magari yaliyopata ajali yana namba za serikali!! Hii nchi ina ujinga mwingi sana.

Watu wanalipa kodi kwa shida, halafu kodi hizo hizo wanazichezea kwenye mambo ya kipuuzi. Sitashangaa kuona watu wakifurahia hiyo ajali, na hata kuwaombea mabaya wahusika.
 
Kiki tu. Kaona Msiba wa Lowassa una make headlines.
 
Kwahiyo hapo ulitaka usikie, waloumia ni Mwenyekiti wa CCM, katibu wa CCm, na viongozi wa CCM??.

Wee hujaona kua na Katibu Tawala Mkoa ' RAS ' kajeruhiwa? Ulitaka katibu tawala Mkoa, atumie usafiri wa Chama???.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…