Msafara wa Makonda wapata ajali

Haswa kwenye Barabara za vumbi hamuonani na mmoja akienda kati wanyuma mnajaa.
Huwa ninakereka sana na udereva wa pupa.

Mwendo wa gari unatakiwa uzingatie hali ya barabara, hali ya hewa na hadhi ya viongozi.

Hapo bila hata kuuliza; chanzo ni mwendo kasi na kuendesha kwa hatari (dangerous driving).

Kule Ngara leo kuna jamaa kapoteza maisha kwa sababu ya mwendo kasi.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Safi sana wapuuzi
Safari ya mwenezi wa chama, magari ya serekali yamo kwenye ajali! Huko kusini ndio dhalimu magu aliona Moshi mweupe, hadi anafariki akawa anakutana na mauzauza. Huko ushirikina ni wa kudumu ndio maana maendeleo ni mtihani.
Wewe unamaendeleo gani huko kwenu?? Au huo utitili wa hayo magari ya walipakodi na kupumbaza watu ndio unaona wanapeleka maendeleo? Amka Ngosha na maneno ya kukariri wewe.
 
Kwenye hii misafara haramu ya kuhadaa Wananchi Madereva wengi huwa wamelewa.
 
Kwanini gari za serekali STL zinatumika kwa matumizi ya chama? Sasa si hasara kwa serekali hii hela ya mlipa kodi ndo inatumika hivi?

Na suala la misafara yake kutumia 2 Lane nalo liangaliwe yeye siyo kiingozi wa kiserekali atumie 1 Lane ili watumiaji wa barabara wengine nao wapate nafasai ya kuendelea na shughuli zao na siyo kusimamishwa pembeni zaidi ya dakika 30 hadi apite yeye
 
Serikali ya Chama .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…