Msafara wa Makonda wapata ajali

Nimecheka kwa nguvu, Leo sijamuoana hapa jukwaani, au atakuwa amebatizwa na kuwa mkristo, hivyo Leo Yuko anatoa huduma?
Kipindi kile cha mikiki ya Gas alikuwa kila dakika anaposti kupinga gas kuja Dar na akawa anasema wapo tayari kwa lolote. Jeshi lilipoanza shughuli akapotea jukwaani miezi kibao,aliporudi akatoa ushuhuda jinsi alivyonusurika kufa.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Lililuwa jaribio zuri sana shambulio lilitengenezwa toka nyuma ikapigwa kross the ball was on the space but the man wasn't in the space.Ilikuwa almanusura ugomvi wa watekaji na watekwaji uamuliwe Amri toka juu
Ni jaribio zuri sana japo limekwenda off target.
Kwako mtangaji studio
 
Poleni majeruhi, Mungu awaponye na kuwakinga na umauti.
 
Duuuuu hakuna aliyekufa?
 
makonda hatochoka kuipigania nchi hasahasa kwa wanyonge na walalahoi wallah
Pumbafu kabisa wewe,yaani MTU anawindwa na USA kisa kuondoa haki ya Wanadamu kuishi alafu wewe unaleta bange zako?
 
Dua za wengi huku kusini ni kwamba ahmad katani awe na mwisho mbaya sana
 
Hakuna MTU aliyekufa kabisaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…